You my friend are an idiot ....please do your research .distance from dar es salaam to kapiri rail distance is 1860km and not 1400 further there is borderpost at Tunduma which increses further delay that is why it takes 48hrs but without any border stoppage it normally takes 25hr that is Tazara SGR built from 1970 to 1975 and is far better than kenyas.
Nliwaambia kupingana na hawa ma retard wa South juu ya Factual issue utajipata uko depressed juu wamejaza ujinga tu toka comment ya kwanza mpaka ya mwisho....that is why nimelenga kuingia hzo ma comparison zao zote wanazo ziskuma hapa Hata ku view sitaki....simple ...ingia Youtube utafute Kanda ya Africa ambayo Ina viewers wengi kutoka Europa na America soma Comments Za hyo Kanda alafu ingia JF .....Cake walk!!
This Tanzania Hateful comments will feel like Compliments my friend
Hawa watu wasikuumize kichwa, hata utafiti umebaini ni wanafiki kupitiliza. Hebu soma hii hapa
According to a paper published in Nature, British people were the most honest just ahead of Swedes, Germans, Lithuanians and Italians. The least honest people – according to this test -- were from Tanzania, Morocco, China, Vietnam and Colombia.
Study reveals the most - and least - honest people in the world
Shallow thinkingColonial master watasemaje wakenya ni wanafiki wakati mnawapa kila kitu wanachotaka, land, military base, lugha yao ndio lugha yenu ya taifa, watawasemaje vibaya?
Not really no one in this section give a flying https://jamii.app/JFUserGuide about Tanzanian news .....we keep it Kenyan ...so no one will care...Hatukujali juu ya BRT zenu mkaamua kuanzisha Ma Thread za BRT kenya news juu mliona Hatujali ....kaeni hukoIm glad wakenya ndio mmeanza kupata hii mitumba ya treni kabla yetu sisi, ingekuwa ni sisi ndio tumepata kwanza, mgepuliza vuvuzela mpaka jua lisitoke asubuhi.
But it was Annael who started the whole comparison thing, by claiming that the TAZARA trains move at a speed of upto 120km/h!How can you compare a 40 years old railway line with the one of 2016, juzi minister wa chini was intown, ameshaweka sign to take over tazara and rebuild it au hujaona hiyo.
Fine, it is around 1700-1850km, the distance between Kapiri and Dsm. But that does not in anyway counter my assertion that at that max speed of 120km/h, Tazara trains should therefore be able to complete that journey wthin just a day, within around 15hrs. Putting into account those factors that slow down the pace of the travel into account however- and indeed they are inevitable- we can then add some 5 or 10 hours to the journey, let's say 25hrs.distance from dar es salaam to kapiri rail distance is 1860km and not 1400 further there is borderpost at Tunduma which increses further delay that is why it takes 48hrs but without any border stoppage it normally takes 25hr that is
1. Tazara is not a Standard Guage Railway, it is a Cape Gauge Railway, whilst the old Mombasa-Uganda railway in Kenya is a Narrow Guage Railway.Tazara SGR built from 1970 to 1975 and is far better than kenyas.
Colonial master watasemaje wakenya ni wanafiki wakati mnawapa kila kitu wanachotaka, land, military base, lugha yao ndio lugha yenu ya taifa, watawasemaje vibaya?
Im glad wakenya ndio mmeanza kupata hii mitumba ya treni kabla yetu sisi, ingekuwa ni sisi ndio tumepata kwanza, mgepuliza vuvuzela mpaka jua lisitoke asubuhi.
Stupid ...stupid....and an extreemely stupid comment.wewe hufikiria kweli ama kazi ni kuropokwa tuColonial master watasemaje wakenya ni wanafiki wakati mnawapa kila kitu wanachotaka, land, military base, lugha yao ndio lugha yenu ya taifa, watawasemaje vibaya?
Truth Hurts....[emoji30]Shallow thinking
Some of us we're blessed with x-ray vision which enable us to see right through your heart. And your heart contradict with what your saying. Pole sana, usife na tai yako shingoni.Not really no one in this section give a flying **** about Tanzanian news .....we keep it Kenyan ...so no one will care...Hatukujali juu ya BRT zenu mkaamua kuanzisha Ma Thread za BRT kenya news juu mliona Hatujali ....kaeni huko
Kuna uwongo hapo? Tell me kama Britain are not holding big chunk of land in Kenya, tell me if English is not one of your nation language, is there any British military base in Kenya. Britain has always has a soft spot when it comes to Kenya everone knows that.Stupid ...stupid....and an extreemely stupid comment.wewe hufikiria kweli ama kazi ni kuropokwa tu
Yani this is so poor of you, unachukuwa maneno ya ushabiki wa kisiasa, ndio unasema watanzania wote wako hivyo. You of all people should know better hata huko Kenya leo hii nikichukuwa mtu wa ODM, unafikiri ataongeza mazuri kuhusu uhuru au waKenya wanao toa support kwa Jubilee? Or vice versaHayo ya unafiki hata Watanzania wenyewe wanajijua, hamna haja ya kuhangaika....
Ona huyu hapa chini mwenzenu kaamua kuwaanika mlivyo
=============================================
Watanzania ni walalamishi, wavivu, wanafiki na wapenda dezo. Mh Rais endelea kutunyoosha
Watanzania ni walalamishi, wavivu, wanafiki na wapenda dezo
Wito
Mh Rais Magufuli hapo uliposhika usilegeze endelea kukaza na kutunyoosha Watanzania ili tushike adabu ili kuondoa hulika ya ulalamishi, uvivu, uzembe upenda dezodezo na ufisadi.
Tukirejea Historia Watanzania hawana jema wala zuri ni watu wakulalamika tu na wavivu ndio maana nchii hii na Maskini si watu majasiri na wachapa kazi.
Hawahawa Watanzania wamemsema vibaya Baba wa Taifa na mpaka Tundu lissu ambaye leo ndio kiongozi wa kukupinga wewe alimkashifu Baba wa Taifa katika Bunge la Katiba na clip zipo lakini leo amegeuka na kumpamba Nyerere
Hawawa Watanzania walimtukana sana Rais Mstaafu Mzee Mwinyi na kumkejeli vya kutosha eti hakuwa na elimu ya uchumi bali alikuwa mzee wa Ruksa tu lakini leo wamegeuka na kumuona ni shujaa
Hawawa Watanzani walimlalamikia na kumfitini Mzee Mkapa eti ni Fisadi lakini alipoingia Kikwete tu Madarakani wakamkumbuka eti ni Mkombozi wa Uchumi wa TZ
Hawahawa Watanzania walimzomea, walimlalamikia na kumfitini sana Mzee Kikwete eti ni Fisadi, Dhaifu, hajui uongozi wakampachika majina ya Vasco dagama etc Kipindi cha Kikwete Watanzania hawahawa walidiriki kuomba Siku moja Tanzania ipate Rais Dikteta wakuinyoosha lakini eti leo Watanzania pamoja na kumsema sana JK wanamuona shujaa wao na wamemkumbuka.
Ukiangalia historia hii unagundua ni kiasi gani Watanzania wanakiwango kikubwa cha unafiki ulalamishi, uvivu, uzembe etc na dawa yake sasa ni kuondoa hizi tabia.
Mh Rais Magufuli nakuomba utuondolee hizi Tabia za unafiki, ulalamishi na uvivu Tunyooshe kwelikweli, tufundishe kusema kweli, nyoosha wavivu kwelikweli iliwarudi shamba, wapayukaji wabane kwelikweli mwisho wa siku Watanzania watajitambua na kubadili tabia na hapo Nchi yetu itapiga hatua mbele na kuingia uchumi wa kati wa viwanda.
Hatuwezi kufikia uchumi wa Kati wa Viwanda tukiwa na Watanzania legelege, wanafiki na wazembe wapenda dezo
Mwisho pamoja na kelele nyingi kupingwa huku na huku Watukikusema na kukulalamikia Mh Rais Ziba Masikio kabisa endelea Kubana, endelea kukaba endelea kunyoosha kwelikweli Watu Majasiri kama sisi tuka pamoja na wewe kwani tumetoka kwenye kampeni pamoja na tupo pamoja mpaka leo hii
Team Kunyoosha#Team Kubana#Team kukaba# Team Kutumbua na tutayafanya haya kweli kweli bila woga hata mseme vipi lazima mnyooshwe tu
Mh Magufuli wewe ni KAKA wa TAIFA Tunakutegemea sana kuturudisha kwenye mstari ili kutengeneza TANZANIA MPYA
Watanzania ni walalamishi, wavivu, wanafiki na wapenda dezo. Mh Rais endelea kutunyoosha
Mbona hatukuongea mliponunua mapangaboy yenu, wenyewe mlikuja kutututambia kwamba yataipiga chini KQ. Hakuna Mkenya huwaza mambo ya Tanzania, labda wachache ambao tunakuja huko kufanya biashara zetu. Nyie ndio kila uchao Kenya hiki Kenya kile..... Kila siku mnaongea jinsi mtaipita Kenya, tangu enzi za mababu zenu hadi vizazi vyz kesho, wimbo ni ule ule.