Why Kenyan women are having a hard time finding love in the Diaspora

Bana eeh kuwa mbunifu kitandani, sometime allow some fantasies, you exchange roles.
Sometime allow the girl to run the show, they can be very creative. Sio kila siku umenuna tu.

Hivi ndugu yangu, kichwa chako kina uwezo wa kuelewa kweli.?

You earlier talked about Femdom thing, now ur talking about being romantic on the bed. Hata yule asiyekuwa mfuasi wa Femdom anaweza kuwa romantic.

Katika mazingira yeyote yale, A man is meant to take a leading role when it comes to bed.

You seem to lack confidence, and leave it all to a girl.
 
Hivi ndugu yangu, kichwa chako kina uwezo wa kuelewa kweli.?

You earlier talked about Femdom thing, now ur talking about being romantic on the bed.
Hata yule asiyekuwa mfuasi wa Femdom anaweza kuwa romantic.

He said sometimes, that is called experimenting, being spontaneous.
Same thing every time is boring and just pathetic.
 
Hivi ndugu yangu, kichwa chako kina uwezo wa kuelewa kweli.?

You earlier talked about Femdom thing, now ur talking about being romantic on the bed.
Hata yule asiyekuwa mfuasi wa Femdom anaweza kuwa romantic.
Katika mazingira yeyote yale, A man is meant to take a leading role when it comes to bed.

You seem to lack confidence, and leave it all to a girl.

Unaelewa unachoongea kuhusu kweli, hebu tuliza mori, punguza kasi halafu fuatilia kwa makini ndo utajua haupo. Femdom ni mojawapo wa romance ambayo inahusu demu kukutawala, yeye anafanya maamuzi kwenye ngoma yote. Na sijamaanisha iwe hivyo kila siku, ni kwamba tu mnakuwa wabunifu na kujaribu vitu tofauti ambavyo hamjazoea.

Siku nyingi unakuta mwanaume ndiye mwenye maamuzi mfano style mtakayotumia n.k. Lakini inafaa wakati mwingine unampa mama anakua ndio boss, kuna wanaume hata hupenda kupigwa slaps/vibao ndio anawaka yaani kabisa. Kajifunze haya mambo wacha ushamba wa aibu.
 
Mimi ngoja nisimamie hapa,

Let's stop talking about this, it seems u've decided to disagree.
I'm Busy...!!!!
 
Wanawake wa kenya wana sura mbaya sana. Hawavutii kabisa.

Umesahau wana mahips ya tumboni mkuu,yaani umbo ni zero.chini wembamba juu wamejaa

Sijui ni kwanini wengi wao wako hivyo.
 
Kuwa mkweli, tatizo ni kwamba huwezani na assertiveness na sophistication ya madem wa ki-Nairobi, they can be very intimidating for an inferior guy.

Mademu ambao nimeona Bongo wapo kidogo kufikia mizuka ya wale Ki-Nairobi ni wale wakutoka Kilimanjaro, aisei nilikumbana nao Dar mjini na nilipenda sana.

Haya mengine yote unasema sijui eti umbo la kike ni jinsi tu ya kujifariji maana msomi yeyote anaelewa nchi zetu hazikuwepo kabla mzungu hajaja na hamna tofauti ila imaginary boundary. Nimekaa na Wasukuma na Wahaya ambapo hamna tofauti yao na Waluhya wakwetu. Wamaasai wa pande zote mbili hawana utofauti, vile vile Wajaluo na hata ukienda Pwani ya kwetu na Pwani ya kwenu hamna tofauti.

Tofauti ipo kitandani mkuu,yaani watoto wa kikenya hata kudeka hawajui aisee...utasema upo ghetto na mshkaji mwenzio bana...mahaba hakuna kwa madem wa kikenya.
 
Man, Tanzania top class ladies date Kenyan men all the time and have low opinion on their male counterparts.
Labda wale wa uswazi ndio wamezoea kuwasifia nyie, lakini nenda kwenye corporate world ya Bongo utakuta sophisticated ladies ambao hawaishi kutupenda maana a Kenyan guy kwenye michezo ya classic romance huwa hatuchelewi.

Hahahahaha...ukiona demu wa kibongo kadata na mkenya ujue hapo anachuna tu na kutafuta anga zake na lazima huyo jamaa awe na fweza.

Lasivyo hakuna kitu,huo ndio ukweli na uwazi.
 
Wee baki hapo ukibisha wakati tunawachukua mademu wenu, fuatilia takwimu ndo utakoma. Wabongo kwa kweli romance hamna, mimi nilikua na demu Mbongo halafu hata kumshika mkono barabarani tukitembea inakua kama sinema, Wabongo wametukazia macho wakati kwetu jambo la kawaida tu.

Nikimpeleka kwenye mabeach halafu tunakiss sasa ndio usitake, inakua ndio movie kabisa. Hamjazoea kuyaona hayo. Halafu your girls are sex starved, hamuwapei ngoma sawa sawa, maana akikumbana na mizuka ya Kikenya haishi kusifia hadi unashangaa kwani kunani.

Si mnasifiwa ili mtoe hizo pesa???? Kuanzia lini mikono ya sweta ikajua mapenzi???
 
Man, Tanzania top class ladies date Kenyan men all the time and have low opinion on their male counterparts.
Labda wale wa uswazi ndio wamezoea kuwasifia nyie, lakini nenda kwenye corporate world ya Bongo utakuta sophisticated ladies ambao hawaishi kutupenda maana a Kenyan guy kwenye michezo ya classic romance huwa hatuchelewi.

Nig pul eez!,.....kwa kujisifu tu you can earn a golden trophy!, si kila mtu anaona chalii wa pande hizo mko kuvile sana!
 
kui Hebu kwanza we demu ama jamaa ndio nijue vile nitakunanii.
 
Last edited by a moderator:
It depends on what you understand about romance, like I said, you guys are naive, you must understand there are some men who get orgasm when slapped by a lady, they enjoy it. Ukiwa tayari niambie nikufunze mambo haya... romance 101 for Tanzania men. Kazi yenu kudunda wanawake ili kujifariji kwa mapungufu.

Hahaaa!,....so unataka niambia wanaume Kenya hamuwezi pata orgasm mpaka mchapwe?!!, then you guys are SICK!
That's the smartest excuse I've ever heard!, na mchapwe tu......lol!
 
Mi demu, kwani unafanyaga nini hata na jamaas?!

Kama jamaa, napiga kichapo huwa siwabembelezi, lakini dah!! demu, kwanza mswahili jameni tuliza mrembo, hatuna ubishi na nyie watoto wa Kibongo, tena wazuri sana aisei. Kwanza wale Tanga.....huniacha hoi kwa jinsi wanavyoporomosha Kiswahili kwa lafudhi ya kiaina.
 
Halafu unatu underestimate kuwa tunaona chaliis wa Kenya gods, ni vile tumefundwa vizuri ku cater at our men na si kuwachapa, na hata kama wamekosa tunaongea nao kwa ustaarab,
 
Halafu unatu underestimate kuwa tunaona chaliis wa Kenya gods!, ni vile tumefundwa vizuri ku TAKE GOOD CARE OF OUR MEN, na si KUWACHAPA!, na hata kama wamekosa tunaongea nao kwa ustaarab!

Zii mrembo, ni vile umekuta ngumi kati yangu na jamaaz wenu, isome poa nilichokua namaanisha, nimetumia neno "some" men wakati nilikua namfundisha jamaa wenu kuna romance zile jamaa hupenda kuslapiwa na manzi, yaani kuna fantansies za kila aina. Halafu unaweza kuta jamaa wamekosana na demu halafu arguement inakua hot hadi demu anamslap jamaa, na ghafla jamaa badala ya ku-retaliate ana-mpull na ku-kiss kishenzi yaani.

Unajua sex kila mtu huwa chizi, yaani hamnanga common sense humo ndani, na ndio unakuta kuna ku-suck na ku-lick na vituko za kila aina, mnakuwa wabunifu na kuanzisha vitu vyenye sio vya kawaida.
 
Nimekuwa defensive kwa kuwa umesema classic chicks wa kibongo wanaona nyie mungu wadogo which is not true, unless kama hawajielewi.
Mwanamke yeyote mwenye uelewa atajali zaidi potential ya mwanaume, na sio kabila.

And then you implied that getting hit by a woman (which is a norm to Kenyan men) is one of sex fantansies, so nikashindwaa, nyie chaliis wa huko mnachapwa most of the times ina maana hamuwezi kuwa turned on mpaka mchapwe kila wakati?!
I know sometimes sex can turn wild and nasty but si kupigana kila wakati.

Navojua mimi nikitaka kum turn on jamaa, I put on a lingerie and not fighting gloves
 
Nimekuwa defensive kwa kuwa umesema classic chicks wa kibongo wanaona nyie mungu wadogo which is not true, unless kama hawajielewi.
Mwanamke yeyote mwenye uelewa atajali zaidi potential ya mwanaume, na sio kabila.

And then you implied that getting hit by a woman (which is a norm to Kenyan men) is one of sex fantansies, so nikashindwaa, nyie chaliis wa huko mnachapwa most of the times ina maana hamuwezi kuwa turned on mpaka mchapwe kila wakati?!
I know sometimes sex can turn wild and nasty but si kupigana kila wakati.

Navojua mimi nikitaka kum turn on jamaa either nakuwa mtupu or I put on a lingerie and not fighting gloves!

Tuliza mrembo, nilikua tu nawapa za uso hao jamaaz, lakini sina ugomvi na mademu wa Bongo, nawapenda sana...peace.

Halafu ushaskia make up sex, obviously a jamaa can be turned on in so many ways, lakini kuna time demu kama amejam na kuzusha huonekana msexy sana, yaani hata akiku-slap hauisikii.
 
  • Thanks
Reactions: kui

Lol!,......basically, one of the things that get you turned on ni demu m mad?!
Halafu, unamaanisha Kenyan men are more creative and adventurous in bed than their Tanzanian counterparts?!
 
Dah! utaipata hii kweli? ok lets talk about me, I get turned on by anything feminine, vyenye dame ana-smile, anavyo-ongea, anavyotembea, bra, G-string, nguo, lingerie name it.

Lakini nasema kuna wakati dame anaweza kuwa anazusha, amekasirika na kugombana, ila namuona anazidi kuwa msexy the more anabonga mob. I just grab her, pull her in and kiss it off into a make up sex.
 
Back
Top Bottom