Why Matola must go, sababu hizi hapa

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Yes Matola amekuwa kocha msaidizi muda sasa! Ili Simba ibadilike inahitaji kocha msaidizi mwingine ili kuja na mawazo mapya
  1. MATOLA hana mbinu za kumsaidia mwl refer mechi ya YANGA vs SIMBA tukapoteza matola hakumsaidia ZORAN
  2. MATOLA amezoeana sana na wachezaj wengi wa SIMBA inafikia wakati hawamsikilizi
  3. JANA sub yake alishindwa nini kuona ISRAEL anavuja upande ule angempeleka KAPAMA na MWENDA kwenda Nje
  4. Wanasimba tunataka mawazo mapya kuwapa wachezaj wetu
  5. BILA SIMBA KUMUONDOA MATOLA failure is coming hata huyo kocha mpya akija lazima aje amsikilize matola
  6. WACHEZAJ wa SIMBA hawapambani tena kama kuna mgomo au kurogwa
  7. MATOLA AKASOME naye atafute new challenge sehemu zingine why SIMBA TU

AIONE BVRA
 
Kiufupi jamaa hana mbinu na hawezi kubadilika. Amekariri sana hata aina ya wachezaji wa kufanya mabadiliko na muundo wa uchezajii kiujumla.

Hitimana jana kamuonesha nini maana ya kocha kuwa na mbinu. "KMC wajilaumu kwa kupata sare, SIMBA hawana budi kufarahi kwa sare."
 
Ukiishabikia Simba raha sana aisee watu wenye mahabaaaa na timu yao ndo sisi sasa. Yani timu imechangamka vile hatari hapa leo kocha katimuliwa mara dkk hazipiti hatumtaki Matola sasa itapoaje hii timu. Ila tunaongoza ligi mjuee raha ya timu inayofunga magoli mengi kwny mechi.
 
Mlikua mna shangilia pre seson na mechi zisizo na mpango, mwishoe timu imechoka kabla ligi haija changanya.
 
Kocha mpya akija lazima apewe desa na matola, WE cannot move on
 
Kila ninapojaribu kutafuta kosa la Matola sioni, nashangaa kwa nini mnadhani asipokuwepo mambo yatakuwa sawa.

Yeye ni msaidizi mipango yote tunamtegemea Kocha Mkuu.
 
Ushauri kwa uongozi wa simba, msijaribu kumtoa matola mtaporomoka zaidi kwenye chini...


Mark my words
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…