Why Matola must go, sababu hizi hapa

Why Matola must go, sababu hizi hapa

Matola kocha mzuri shida ni hao wachezaji wliosajiliwa na uongozi,kuna lundo la wachezaji wa Simba hawana uwezo,wamesajiliwa na watu wasio na uwezo wa kujua wachezaji wazuri kulingan na mahitaji ya timu.

Muzamiru ni mzigo mkubwa kwa Simb.
Israel Mwenda eti nae ni beki wa timu kubwa ya Simba!.kama Simba ilikua haina nia ya kusajili namba tisa na kiungo mkabaji basi wangewabakiza wale wakina Kagere na Thadeo tukajua moja kuliko kusajili wapya alafu changamoto zilezile bado zipo.
 
Yes Matola amekuwa kocha msaidizi muda sasa! Ili Simba ibadilike inahitaji kocha msaidizi mwingine ili kuja na mawazo mapya
  1. MATOLA hana mbinu za kumsaidia mwl refer mechi ya YANGA vs SIMBA tukapoteza matola hakumsaidia ZORAN
  2. MATOLA amezoeana sana na wachezaj wengi wa SIMBA inafikia wakati hawamsikilizi
  3. JANA sub yake alishindwa nini kuona ISRAEL anavuja upande ule angempeleka KAPAM A na MWENDA kwenda Nje
  4. Wanasimba tunataka mawazo mapya kuwapa wachezaj wetu
  5. BILA SIMBA KUMUONDOA MATOLA failure is coming hata huyo kocha mpya akija lazima aje amsikilize matola
  6. WACHEZAJ wa SIMBA hawapambani tena kama kuna mgomo au kurogwa
  7. MATOLA AKASOME naye atafute new challenge sehemu zingine why SIMBA TU

AIONE BVRA
Mie nadhani Matola awafikirie wanaimtaka aondoke Simba wana nia mzuri sana kwake.
Amekuwa msaidizi kwa muda mrefu tu hata timu ya Taifa alipochaguliwa alikuwa msaidizi pia.
Sasa ni wakati muagaka akaondoka na kutafuta timu atakayoitengeneza yeye mwenyewe na ikifanya vizuri anajiongezea sifa ya ubora. Mfano ni Minziro wa Geita Gold.
Wale wanaomtetea aendelee kuwa msaidizi hapo Simba hawamtakii mema. Hawataki kuona anaendelea kisoka.
Namshauri aondoke sasa hapo Simba.
 
Matola kocha mzuri shida ni hao wachezaji wliosajiliwa na uongozi,kuna lundo la wachezaji wa Simba hawana uwezo,wamesajiliwa na watu wasio na uwezo wa kujua wachezaji wazuri kulingan na mahitaji ya timu.

Muzamiru ni mzigo mkubwa kwa Simb.
Israel Mwenda eti nae ni beki wa timu kubwa ya Simba!.kama Simba ilikua haina nia ya kusajili namba tisa na kiungo mkabaji basi wangewabakiza wale wakina Kagere na Thadeo tukajua moja kuliko kusajili wapya alafu changamoto zilezile bado zipo.
Wewe umeongea kitu cha maana lakini ambacho wengi hawataki kukisikia. Kuna watu wanaamini Simba ina wachezaji wazuri, bado sana. Israel hamfikii hata Dickson Mhilu wa Kagera Sugar sembuse Michael Mpesa wa Prison.
 
Simba Ina wachezaji wa hovyo tu
 
Nadhani Matola ana kazi nyingi ndani ya timu, anajua tabia za wachezaji, na jinsi ya kuwadhibiti
 
Interesting...
Nyinyi mnakuwepo benchi la Simba Hadi mseme Haya yote?..

Matola waliemuajiri ndo wanajua uwezo wake...Nani aliethibitisha kuwa anachoshauri ndo tatizo?...

Hizi mentality za ajabu sana
Simba miaka hii ya mafanikio wamekusanya mashabiki wengi wajinga wajinga sana.

Ukiwauliza kosa la Matola hawajui lakini kila siku Matola atoke, atoke ili iweje ?
 
Back
Top Bottom