Waminyato
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,197
- 4,525
Matola kocha mzuri shida ni hao wachezaji wliosajiliwa na uongozi,kuna lundo la wachezaji wa Simba hawana uwezo,wamesajiliwa na watu wasio na uwezo wa kujua wachezaji wazuri kulingan na mahitaji ya timu.
Muzamiru ni mzigo mkubwa kwa Simb.
Israel Mwenda eti nae ni beki wa timu kubwa ya Simba!.kama Simba ilikua haina nia ya kusajili namba tisa na kiungo mkabaji basi wangewabakiza wale wakina Kagere na Thadeo tukajua moja kuliko kusajili wapya alafu changamoto zilezile bado zipo.