Yes Matola amekuwa kocha msaidizi muda sasa! Ili Simba ibadilike inahitaji kocha msaidizi mwingine ili kuja na mawazo mapya
AIONE BVRA
- MATOLA hana mbinu za kumsaidia mwl refer mechi ya YANGA vs SIMBA tukapoteza matola hakumsaidia ZORAN
- MATOLA amezoeana sana na wachezaj wengi wa SIMBA inafikia wakati hawamsikilizi
- JANA sub yake alishindwa nini kuona ISRAEL anavuja upande ule angempeleka KAPAMA na MWENDA kwenda Nje
- Wanasimba tunataka mawazo mapya kuwapa wachezaj wetu
- BILA SIMBA KUMUONDOA MATOLA failure is coming hata huyo kocha mpya akija lazima aje amsikilize matola
- WACHEZAJ wa SIMBA hawapambani tena kama kuna mgomo au kurogwa
- MATOLA AKASOME naye atafute new challenge sehemu zingine why SIMBA TU
AIONE BVRA