Mie nadhani Matola awafikirie wanaimtaka aondoke Simba wana nia mzuri sana kwake.Yes Matola amekuwa kocha msaidizi muda sasa! Ili Simba ibadilike inahitaji kocha msaidizi mwingine ili kuja na mawazo mapya
- MATOLA hana mbinu za kumsaidia mwl refer mechi ya YANGA vs SIMBA tukapoteza matola hakumsaidia ZORAN
- MATOLA amezoeana sana na wachezaj wengi wa SIMBA inafikia wakati hawamsikilizi
- JANA sub yake alishindwa nini kuona ISRAEL anavuja upande ule angempeleka KAPAM A na MWENDA kwenda Nje
- Wanasimba tunataka mawazo mapya kuwapa wachezaj wetu
- BILA SIMBA KUMUONDOA MATOLA failure is coming hata huyo kocha mpya akija lazima aje amsikilize matola
- WACHEZAJ wa SIMBA hawapambani tena kama kuna mgomo au kurogwa
- MATOLA AKASOME naye atafute new challenge sehemu zingine why SIMBA TU
AIONE BVRA
Mie nadhani tumuonee huruma Matola kwa maendeleo yake ni si suala la kufanya vizuri au vibaya kwa timu.Wkat ule Simba ikifanya vizuri Matola hakuwepo kwani?
Wewe umeongea kitu cha maana lakini ambacho wengi hawataki kukisikia. Kuna watu wanaamini Simba ina wachezaji wazuri, bado sana. Israel hamfikii hata Dickson Mhilu wa Kagera Sugar sembuse Michael Mpesa wa Prison.Matola kocha mzuri shida ni hao wachezaji wliosajiliwa na uongozi,kuna lundo la wachezaji wa Simba hawana uwezo,wamesajiliwa na watu wasio na uwezo wa kujua wachezaji wazuri kulingan na mahitaji ya timu.
Muzamiru ni mzigo mkubwa kwa Simb.
Israel Mwenda eti nae ni beki wa timu kubwa ya Simba!.kama Simba ilikua haina nia ya kusajili namba tisa na kiungo mkabaji basi wangewabakiza wale wakina Kagere na Thadeo tukajua moja kuliko kusajili wapya alafu changamoto zilezile bado zipo.
Simba Ina wachezaji wa hovyo tuWewe umeongea kitu cha maana lakini ambacho wengi hawataki kukisikia. Kuna watu wanaamini Simba ina wachezaji wazuri, bado sana. Israel hamfikii hata Dickson Mhilu wa Kagera Sugar sembuse Michael Mpesa wa Prison.
Matola must go! Mashabiki wenzako hawamtaki! Inakuwaje wewe unamtaka?Wivu tu unakusumbua
Shida yenu na Simba ni nini Aiseeee..
Mwaka huu hadi wewe utakuwa kocha 🤠🤠🤠Shida yenu na Simba ni nini Aiseeee..
Hebu tuache kidogo bhana[emoji1787]
Kumbe wee mwananchi ..ngoja nikuunganishe na financial services
Pamoja na Shadeeya itapendeza 🤠🤠🤠 na AntonniaKumbe wee mwananchi ..ngoja nikuunganishe na financial services
Kichwa changu kilivyo hiki unaona nikiwezana kweli?[emoji1787][emoji1787]Mwaka huu hadi wewe utakuwa kocha [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Kwani vichwa vya mnao wafukuza vikoje 🤠🤠🤠Kichwa changu kilivyo hiki unaona nikiwezana kweli?[emoji1787][emoji1787]
Kama chako[emoji1787]Kwani vichwa vya mnao wafukuza vikoje [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Ingekuwa hata nusu ya changu msingepigwa na sisi ndio Yangaaa 🤠🤠🤠🤠Kama chako[emoji1787]
Kwendeni huko[emoji3]Ingekuwa hata nusu ya changu msingepigwa na sisi ndio Yangaaa [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Haya Makolo Fc 🤪🤪Kwendeni huko[emoji3]
Kweli kabsaTumuondoe kwanza Mo, ndiye anayetuhujumu⁹.
Simba miaka hii ya mafanikio wamekusanya mashabiki wengi wajinga wajinga sana.Interesting...
Nyinyi mnakuwepo benchi la Simba Hadi mseme Haya yote?..
Matola waliemuajiri ndo wanajua uwezo wake...Nani aliethibitisha kuwa anachoshauri ndo tatizo?...
Hizi mentality za ajabu sana