Why me simpati mwanaume kama huyu i am tired kabisa

Kama bundle halijafikia 75% bas network haiko sawa,
Endelea kuomba ila hakikisha umejiunga na kifurushi
 
Upate mwanadamu mwenye sifa zote hizo we Unaumba?
Mnajikoseshaga mapenzi kwa mawazo ya kipuuzi!
We unaweza kuwa hivyo?
Ndiooo naweza sema sijapata mwenza wangu haya mawazo yako ambayo siyakipuzi ni yapi
 
Kwasababu unachagua na kuwakubalia wanaume wenye sifa unazozitaka ww na kuwakataa wale wanaokumbenda kwa dhati coz hawana sifa unazotaka ww
 
Yupo huyo mwanaume,ipo siku utampata
 

Naona watu saba tofaut hapo, mwelewa, mwenye pesa , mwenye upendo Hao pia Ni wanaume watatu tofaut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…