Why me simpati mwanaume kama huyu i am tired kabisa

Mungu anakupa wa kufanana na wewe, wewe mwenyewe hauko hivyo unataka upewe wa namna hautajua thamani yake
Sio kweli... Ukipata wa kufanana na wewe hutolalamika sanasana utafurahia maisha hadi uone wengine ni wajinga 🤣🤣
 
Unajiuza humu unataka asiyenunua? Mtakutana muuzaji na mnunuaji.
 

What do you have to offer? Unataka Vogu e na una 5m?
 
Akili kumkichwa
 
nyi mnapendaga show za kibabe za wahuni au sharobaro wanawachezea eeeh baada ya kuchakaa mnatafutia pakufia kwa nice guy wavaa mashati ya vitengee ,any way MUNGU atakupa wa kufanana nawe
 
Nakuombea umpate. Na ukimpata usimdharau kwa sababu anatimiza hizo haja zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…