Why me simpati mwanaume kama huyu i am tired kabisa

Omba sana ila JIPIME UNAYEMTA,WE UKOJE? SIYO WAMTAKA MTU WA OUT ILA WE HUTOKI/HUJITOI OUT (Mfano tu na ushauri)
 
Upate mwanadamu mwenye sifa zote hizo we Unaumba?
Mnajikoseshaga mapenzi kwa mawazo ya kipuuzi!
We unaweza kuwa hivyo?
 
Omba sana ila JIPIME UNAYEMTA,WE UKOJE? SIYO WAMTAKA MTU WA OUT ILA WE HUTOKI/HUJITOI OUT (Mfano tu na ushauri)
sema toka uonekane maswala yakujitoa out saa ingine mwanaume atajua unahela za mchezo kumbe niunajitahidi tu.
 
Hapa umewataja wanaume 10 au zaidi tofauti...!!
 
Mbona wewe hujaweka wajibu ama majukumu yako kwake. Yaani yeye atakufaidije mbali na mbususu yako Mana Kama ni biashara ya mbususu unapata tango. Ila naona umeweka nini ambacho mtabadilisha akitumia nguvu ama jasho lake kukupeleka out ama wewe utampeleka in.
Inabidi na wanawake muweke nyingeza za sifa Mana Kama ni maku iyo ni given Kama lombo ilivyo kwa me.
Haki sawa mmeyataka
Kama vipi hama Tanzania ukatafute walipo.
Akiwa na shida hata ya milioni 400 unayo utamsaidia ama humo ndani unaenda na mbususu yako basi umemaliza Maisha na muda huo huo unataka mwenzako awe na vitu vingi karibu kumi wakati na wewe huna hata kimoja.
Everything is trading and what I know women are fuckingg best traders ever.
 
Vichape polepole usije uka trend dunia haina dogo hii!.
Now nipo mafunzoni ni mwendo wa kula pombe na tizi tu ,huko x nilisha trend neg kwa hiyo ni kawaida tu bwashee
 
Hao ni watu saba tofauti unatafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…