Why Obama is visiting Tanzania

Why Obama is visiting Tanzania

Wazungu kuja Africa si kitu kipya ni tangu miaka ya 1500 walipokuja akina Vasco Dagama na missionaries wengine. Philosophy ya kujifunza juu ya Africa na maana ya Africa na maisha ya Waafrika imeanza siku nyingi. Huu ndio mlango wa sayansi ya kijamii kuendeleza wazungu.

Na wanalitambua hilo bayana kwamba lazima mtu kuwa na uwezo wa kutoka na kwenda kuvuna toka nchi za mbali. Walikuja kiaina kama missionaries na kusaini mikataba na wazee wetu. Zamani tulisema wazee walikuwa na elimu duni na pia kulikuwa na ma-puppets waliochukua vitu poor vya wazungu na kusaini mikataba hiyo.

Hadi leo karne ya 21 hakuna kilichobadilika. Ma-puppets walewale wapo na ndio wanasaini mikataba ya kurubuni watu kwa ahadi ya shanga wakibadirishana na mawe ya dhahabu, ipo na inaendelea. Shule haijatukomboa bado tunaogelea kwenye wimbi la mitego ya wazungu. Walikuja enzi hizo kuchukua vilivyoonekana kwa technologia yao ya wakati ule, sasa wanakuja kwa styile ileile kuchukua vitu vinavyoonekana kwa technologia ya sasa.

Watakuja zaidi mbele ya safari, si ajabu hata majani ya miti na nyasi vikawa mali sisi tumevikalia. Vizazi vyetu vitapita wajukuu zetu historia wataisoma maisha yataendlelea iwe kwa raha au dhiki. Cha kufanya hapa ni kujitoa sadaka kizazi hiki. Tukubali kuanza kujenga nchi na kuendeleza watu wetu kwa mali tulizojaliwa na Mungu na sio kujiendeleza sisi wenyewe na familia zetu kana kwamba sisi ndio generation ya mwisho.
 
President Kikwete, The National Assembly and CCM secretary General are raping democracy. CCM- the rulling party has turned to be a party of the corrupt and dictators. As a leader of the free world, promoting Democracy, Tanzanians are yearning for democracy. Its citizens are being kidnapped and tortured by the security agents.

If America stands for Democracy, it will betray Tanzania people if you come to Tanzania. Instead you need to black-list some Tanzania leaders such as Abdulrahim Kinana, Mwigulu Nchemba, Anna Makinda, Said Mwema, Ridhiwani Kikwete. Jakaya Kikwete. Michael Kamuhanda, Emmanuel Nchimbi. You have witnessed the human right abuses and senseless police killings.
 
- Ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha ! One sana. kama vipi mbebs ni mkaree sana, na Majuu mjipange kama vipi you know !
Super sana.

-Kama vipi huo mtindi ni noma sana. Super sana you know

Sauti ya umeme @NY
 
Obama anakuja kukomba uranium yote sijui tutabaki na nini
 
Obama anakuja kukomba uranium yote sijui tutabaki na nini

US na Obama wanajaribu kwenda nchi ambazo/kupita kule ambako Rais wa China alikanyaga ili kupunguza makali ya ushawishi wa China.
US ni mweneza ugaidi na vita tu duniani ili aweze kuvuna shamba la bibi kiulaini.
 
Kama ninakumbuka vizuri Clinton alipo kuja alitembelea Kigamboni,pale panapojengwa mji mpya kwa sasa huku watz wakitakiwa kuachia eneo na kusogea mbele, kisha alituzuga kwa kudai kufungua salon ya kunyoa nywele ya kisasa eneo la Magomeni,kisha kuelekea Mtwara mpka bwawa la wamakonde kuitwa jina lake kuna walakini ama yeye ndiye muasisi wa bwawa hilo?

Hivi inaingia akilini mtu kufunga safari kwa lengo hilo,Hapa ni wazi kuwa Bi Clinton alikuja kufuatilia maendeleo ya kile kilichoanzishwa na mumewe.

Hata Bush alikuja na style ya kipekee,Watanzania tunakumbuka vile vyandarua visivyotosheleza kwenye vitanda na yale makontena ya condom yaliyoandikwa "kwa msaada wa watu wa Marekani" Hivi ni rais gani anaweza kutumia mamilioni ya fedha za nchi yake kwa malengo kama hayo?

Haikuishia hapo bali alitembelea baadhi ya maeneo ya maeneo yanapochimbwa madini ya tanzanite,hivi alifuata nini kule ama ndiyo kufungua hospitali eneo la Tengeru Arusha, hizo ndio sababu pekee zilizomfanya aitembelee Tanzania?

Basi tuongeze umakini kwa ujio huu wa Obama,pia tujiulize mapema kama anafuatilia vilivyoanzishwa na watangulizi wake ama anafuata uraniam, makaa ya mawe,madini yaliyozagaa nchini kote, Gesi au maliasili zetu? Kwanini TANZANIA?

Hapa kuna mchezo unaendelea,Wenye CCM wanaufahamu mchezo huo, hofu kubwa ni hao wapigadebe wake wasiojua uchao wala uchwao.
 
President Kikwete, The National Assembly and CCM secretary General are raping democracy. CCM- the rulling party has turned to be a party of the corrupt and dictators. As a leader of the free world, promoting Democracy, Tanzanians are yearning for democracy. Its citizens are being kidnapped and tortured by the security agents.

If America stands for Democracy, it will betray Tanzania people if you come to Tanzania. Instead you need to black-list some Tanzania leaders such as Abdulrahim Kinana, Mwigulu Nchemba, Anna Makinda, Said Mwema, Ridhiwani Kikwete. Jakaya Kikwete. Michael Kamuhanda, Emmanuel Nchimbi. You have witnessed the human right abuses and senseless police killings.
Can you please provide empirical evidence here to substantiate your finding that state security agents are torturing people?
 
Can you please provide empirical evidence here to substantiate your finding that state security agents are torturing people???

Aisee wewe ni Anna makinda nini au nchimbi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Can you please provide empirical evidence here to substantiate your finding that state security agents are torturing people?

Refer Tanzania police brutality report by the human right (mods can attach it for you). This question must have been asked by some one outside the country. Those who are in do not need to ask such Qn.
 
TigoPesa, wewe unalizungumzia leo hili jambo?! Mbona wadau washalizungumzia sana!! Tusioona taabu kusema hata kama tutaitwa gamba tulishawaambia mapema wanaojiita wanaharakati kwamba wanajidhalilisha kuishitaki serikali ya Tanzania kwa Obama!

Binafsi nilitamka wazi kuwa, wanaojiita wanaharakati kwenda kushitaki kwa Obama ni kudhirisha kwamba wameshindwa katika harakati zao za kuikomboa Tanzania!

Kuna wengine wakafikia hadi kubandika magazeti juu ya mauaji ya Mwangozi kwenye mitaa ya Washington! Wengine wakapeleka malalamiko hadi Bunge la Seneta! In RETURN? Obama anakuja Tanzania! Nini tafsiri ya ujio wake huo?
 
Last edited by a moderator:
President Kikwete, The National Assembly and CCM secretary General are raping democracy. CCM- the rulling party has turned to be a party of the corrupt and dictators. As a leader of the free world, promoting Democracy, Tanzanians are yearning for democracy. Its citizens are being kidnapped and tortured by the security agents.

If America stands for Democracy, it will betray Tanzania people if you come to Tanzania. Instead you need to black-list some Tanzania leaders such as Abdulrahim Kinana, Mwigulu Nchemba, Anna Makinda, Said Mwema, Ridhiwani Kikwete. Jakaya Kikwete. Michael Kamuhanda, Emmanuel Nchimbi. You have witnessed the human right abuses and senseless police killings.
Angekuwa anafata hayo sawa
 
US na Obama wanajaribu kwenda nchi ambazo/kupita kule ambako Rais wa China alikanyaga ili kupunguza makali ya ushawishi wa China.
US ni mweneza ugaidi na vita tu duniani ili aweze kuvuna shamba la bibi kiulaini.
Afadhali wewe umeongea jambo la maana! Kama leo hii JK anapaswa kuwa ICC, nazani viongozi wengi wa US hivi sasa walitakiwa wawe tayari wanaoza jela!
 
Imefahamika kuwa ujio wa rais wa Marekani nchini Tanzania ni kuja kufuta nyayo za rais wa China nchini ambao katika ujio wa rais wa China alitia saini katika mradi wa bomba la gesi linaleta maafa mkoani Mtwara kwa sasa na kuwashtua Wamerakani.

Ndio ikapangwa ziara ya ghafla kwa Obama kuja kuangalia naye na nchi yake watakula wapi.

Hapa la msingi tuangalie kwanza utaifa jamani sisi tunafaidika kwa lipi??
Dunia ya sasa hakuna msaada wa bure iwe Mchina au Mmarekani
 
sio ghafla dogo mbona walitoa taarifa tangu mwaka jana,usiwe mvivu wa kutafuta habari.achana na mawazo mgando
 
Anakuja kuvuna shamba la bibi sjui ye ataingia mikataba hamsini na ngapi?
 
Yaani kweli hili ni la kushangaa kweli? Pigia msitari.

Hushangai mpaka wa Lake Nyasa kulipuka ghafla?
 
Back
Top Bottom