Wazungu kuja Africa si kitu kipya ni tangu miaka ya 1500 walipokuja akina Vasco Dagama na missionaries wengine. Philosophy ya kujifunza juu ya Africa na maana ya Africa na maisha ya Waafrika imeanza siku nyingi. Huu ndio mlango wa sayansi ya kijamii kuendeleza wazungu.
Na wanalitambua hilo bayana kwamba lazima mtu kuwa na uwezo wa kutoka na kwenda kuvuna toka nchi za mbali. Walikuja kiaina kama missionaries na kusaini mikataba na wazee wetu. Zamani tulisema wazee walikuwa na elimu duni na pia kulikuwa na ma-puppets waliochukua vitu poor vya wazungu na kusaini mikataba hiyo.
Hadi leo karne ya 21 hakuna kilichobadilika. Ma-puppets walewale wapo na ndio wanasaini mikataba ya kurubuni watu kwa ahadi ya shanga wakibadirishana na mawe ya dhahabu, ipo na inaendelea. Shule haijatukomboa bado tunaogelea kwenye wimbi la mitego ya wazungu. Walikuja enzi hizo kuchukua vilivyoonekana kwa technologia yao ya wakati ule, sasa wanakuja kwa styile ileile kuchukua vitu vinavyoonekana kwa technologia ya sasa.
Watakuja zaidi mbele ya safari, si ajabu hata majani ya miti na nyasi vikawa mali sisi tumevikalia. Vizazi vyetu vitapita wajukuu zetu historia wataisoma maisha yataendlelea iwe kwa raha au dhiki. Cha kufanya hapa ni kujitoa sadaka kizazi hiki. Tukubali kuanza kujenga nchi na kuendeleza watu wetu kwa mali tulizojaliwa na Mungu na sio kujiendeleza sisi wenyewe na familia zetu kana kwamba sisi ndio generation ya mwisho.