Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?


Zuchu alifanya show mlimani city
Alifanya show tanga nakumbuka alikua na mwana FA
Alifanya show mwanza
Alifanya show za harusi hizi private Kama 2 hivi
 
Nilishawahi kumiona Jay z stejini ukimuona tuu utajua huyu mtu fedha anayo tofautu na camron. Hela huwa inaonekana na chawa huwa wanajulikana. No hard feelings mimi msimamo wangu ni kwamba rayvanny hana hela amezidiwa kidogo sana na harmonize.

Diamond ana fedha sababu angalia watu aliowaajiri na hata ukipishana nae utajua tuu huyu mtu hela ipo kuanzia ngozi, perfume, ndinga etc. Hayo mengine ya utajiri wa kina kimario wa rombo mdomo hapigi mswaki halafu ana gesti house huo haunihusu na nishatoka huko toka primary school.

Kwa kifupi nikueleweshe pesa ilivyo haijifichi. Kule mtaa wa chakechake masaki tulikuwa tuna kijiwe likipita gari la mke wa mengi, au mzee shelukindo unasikia mtaa mzima unanukia tulikuwa tunajua matajiri hao wanapita ndani ya marnage rover enzi hizo nafikiri bado hujaja town au hujazaliwa bado 1988.
 
Wanaponichekesha wabongo ni pale wanapopiga hesabu ya Youtube viewers na kuzibadilisha kuwa hela kwa njia zao wazijuavyo.

Utaskia viewers 10m ni sawa na Tsh 10m.
 
Nonsense kabisa unafananisha wasanii wa dunia ya kwamza na sisi huku wakina bonde wa dunia ya tatu.

🤣🤣🤣
Wewe sio mzima Forbes kila hatua ya Jay Z walikuwa wanatangaza utajiri wake mpaka leo hii bilionea,kwa hiyo ungemuona usinge muona Forbes ambao wana mauditor wao wanajua mali alizokuwa na nazo mpaka kwenye account zake.

Na si hizi chai zako za kijiweni eti niksogelea mtu najua ana hela nonsense kabisa.

Wewe si CHAWA wa KONDEGANG na Clouds so si shangai,ila mimi nimeongea alicho sema mwenyewe harmonize kwa kinywa chake alivyo hojiwa na Bdozen na siku ya uzinduzi wa ep ya Country Boy na sio hizi chai zako za kuhisihisi na kumsogelea mtu.

Eti unanusa hela,mara ukimsogelea unazunguka kama dawa mbu ya kuchoma kumbe huna unacho kijua,eti mtoto 😀😀 sasa nani wakijijini.
 
Yani mjanja akisoma haitaji kujua wewe ni bonge la mshamba yani.
 
Nimekuelewa sana apa Mkuu
 
Wanaponichekesha wabongo ni pale wanapopiga hesabu ya Youtube viewers na kuzibadilisha kuwa hela kwa njia zao wazijuavyo.

Utaskia viewers 10m ni sawa na Tsh 10m.
Hili linajulikana kuna channel inaitwa sns youtube ameongelea sana haya mambo, na hizo figure ulizoweka ni sawa au si sawa kutegemeana na watazamaji wako ni wa sehemu gani zaidi.
 
Mi sijui hii confindence unaipata wapi ya kuprove kwamba zuchu hana hela....
Umejitahidi mwenyewe kutupoteza kwa kujazia tu maneno twa kingereza eti organically ili usiulizwe maswali au???


Proof ya ibrah analipwa kuliko zuchu ni ipi????

Nguvu iliyotumika sana kumboost zuchu ambayo ina gharama ni ipi???
Una mifano ya sehemu hzo gharama zilipotumika???
Zuchu kaanza juzijuzi tu na kawa ambassador wa nywele...
Na ile hela ya u ambassador wanaichkua?

Haya basi tupime kwa show za mwaka
Zuchu na ibrah wamepiga show ngap mpaka sasa?

Huoni hata kwa utetezi wako usio na proof kwamba mwisho wa siku bado zuchu obviously anaingiza pesa nyingi???

Rayvanny ndo asiongelewe kabisa
Kuanzisha next level music ni ushahidi tosha....

Haya maswala sijui ya wcb wananyonya naona tokea muda ipo tu
Watu wanazidi kufanya mambo yao wcb lakini watu wamekazana kuna unyonyaji

Ushahidi hamna ....mimi kwa kweli naona hii mada kama hamna proof basi inyamaziwe tu sio kuwasema watu bila ushahidi tosha

Na kuna mtu kaandika huko eti ngoja nikakupeleke anapokaa zuchu upaone..😂😂
Watanzania bhana yani nifunge safari na mtu baki mwenzangu akanithibitishie zuchu hana hela😂😂😂
Hata mipango ya wasanii huijui hata mifuko yake inasomaje ndo mtu unampangia uchumi kutokana na muonekano

Eti ukimuona tu unajua hana pesa

Na mark zuckerberg nae tungemjudge kwa muonekano si angekua kila mtu anamuona kapuku?
Pesa haiangaliwi kwa macho wazee!!!
 
fact bro, halafu Kuna member mmoja anajifanya kuwajua sana wasanii na maisha yao, tumpuuze tu maana ukiona unachosikia akifanani na unachokiona basi amini macho yako.
 
fact bro, halafu Kuna member mmoja anajifanya kuwajua sana wasanii na maisha yao, tumpuuze tu maana ukiona unachosikia akifanani na unachokiona basi amini macho yako.
Mtu anakwambia tuangalie anapokaaa ndo tutajua ana hela hivi kweli
Wakulima wangap vijijini wana nyumba za kawaida ila account za kutisha
Pesa haionyeshwi kwa makazi
Chukulia mfano diamond alivopanga sahivi ina maaana kwamba kwa wote walio na nyumba wamemzidi hela kisa kapanga???

Kwangu mimi wcb imewasaidia watu kutambulika haraka zaidi na sidhani ni 35/65 kama watu wanavyosema humu...

Watu ambao wangechukua muda kushine pale wamechukua muda mfupi tu kitu ambacho ni kizuri na hata akiondoka pale wcb anaondoka na loyal fans wake.....kama ilivyo kwa harmonize alivoondoka
 
All in all harmonize anawanyima usingizi crew Nzima ya wasafi, and he is just one guy , wanataka kumuona akishuka too bad Mungu sio juma Harmo Kila Siku nyota yake inazid kuwaka juu , huyu mmakonde kamzid domo ujanja
Binamu akisema nani wa kupinga? Ameeeeeeen
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waleleeeeeeeeeeeeeeh,
 
Hao wapo kwenye panic mode wanatunga uongo alafu wanalazimisha watu waamini chuki zao.

Nimeona kuna mjinga mmoja hapo anaongelea contract za wasafi nikataka nitie neno nikaona tutawapa watu faida tu.
Huyo jamaa anaeongelea contract za wasanii wa Wasafi ni mpuuzi sana na hajielewi!

Nilitaka pia kutia neno nikaamua tu nikaushe maana anaonekana mweupe sana kichwanu
 
Hapo kwenye Tetema Spotify Rayvanny kapiga zaidi ya Million 600
 
Diamond ananyonya wenzake
Hii ni chuki ya wazi. Tafadhali weka mikataba ya wanaonyonywa na sisi tuione. Hebu tufahamishe pia kila 100% za mapato ya Harmonize ile management yake inapata ngapi!

Je vipi Ibraah kila 100% ya mapato yake mgawanyo wake upoje!
 
Katika unyonyaji Diamond ni zaidi ya Ruge, kakae na Harmonize na Mavoko watakuambia. Hata huyo rayvanny Kuna kipindi alikuwa analalamika chinichini kuwa kamgao ni kadogo.

Na diamond hataki waondoke wakajitegemee
Weka ushahidi hapa akikalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…