Why should I confess?

Ndio, hakuna kingine wanachoenda kufanya zaidi ya umalaya na kuna madalali wa hizo mambo, mchawi connection tu
Kuna mahali niliipata hii stori, inasemekana wanagharamiwa passport, wanakatiwa tiketi na kugharamiwa kila kitu, ila wakifika huko wananyang’anywa passport, wanaanza kutumika mpaka warejeshe gharama za mwenyeji wao.

Baada ya hapo sasa wa kuendelea wanaendelea wa kushindwa anarudi nyumbani.
Hii ni kweli?
 
Hao ni wale wadangaji wa kawaida tuuu, hawa wanaokula mavi ni tofauti na wala hulazimishwi kufanya hivyo na hakuna wakukunyang'anya passport wadada wenyewe ukiwaona huwezi dhania ni wale high class wanaishi expensive life huko instagram na biashara ya maana ya kuwapa hayo maisha hawana
 
jamani Leejay49 nakushauri kama huna amani nao kaa mbali wasikuharibu, huwezi kua na watu unasema ni rafiki zako halafu unahisi aibu kuongozana nao au kuwatambulisha kwa watu, kaa nao mbali.
Ndo huwa naki sema, we can't be homies halafu si feel proud kuwa na wewe mbele za watu.

Labda Kama hatuna public relationship, Kama kina tony soprano πŸ˜‚
 
Sema ni wako supportive sanaa na wanaupendo lakini tabia zao tu ndio kikwazoπŸ˜„πŸ˜„
Sema nini mlongo, ili mtu akuingize kingi, anaanza na kuwa very supportive kwako. Hii ni kwa nyanja zote..!! Ukishajaa sasa, kwamba mashaka yote juu yao ushayaondoa, unaingizwa bonge la kingi ya ku-force. Wanapiga bonge kwa sababu baada ya hapo utashituka..!!
 
YEah ni kweli,.
Sema huwa napataga wakati mgumi hata kuwatambulisha kwa ndugu jamaa na marafiki maana kuanzia mavazi yao unaona kabisa hapa usalama mdogo
Mlongo, kumbe tiwuka lepa mpaka timala ugimbi..!! Haya, utanikuta la-charles siku moja, kama siyo mtini.
 
Asante kwa elimu dunia.
πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Story imekaa kicode sana.... pole kwa mapito lkn pia hongera kwa kujitambua!!! Cha msingi punguza ukaribu nao, jiweke busy na mambo yako na zingatia ratiba zako na vipaumbele vyako!!!
 
Kaa nawo kwa akili kama unahisi siyo salama,ila kwa dunia ya kisasa hakuna kundi la watu lisilokuwa na kasoro,wote ni wale wale,muhimu wasivuke msitari mwekundu.
 
Pole sana, lazima ujue mipaka yako na ujifunze kusema hapana. Usikubali kupelekea pelekwa kama mtoto, dunia hii si salama Kwa watu kama wewe maana unaweza dhurika Kwa namna ya ajabu kabisa, unahitajika uwe bold enough.
 
Yani hapo kuwaepuka labda uhame Mkoa au upate likizo ndefu uende Mkoa mwingine. Mungu akusimamie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…