Why should I confess?

YEah ni kweli,.
Sema huwa napataga wakati mgumi hata kuwatambulisha kwa ndugu jamaa na marafiki maana kuanzia mavazi yao unaona kabisa hapa usalama mdogo
 
Okoka mpokee Bwana Yesu kisha wakikufata wakaribishe kanisani watakukimbia wenyewe lingine acha kupokea chochote kutoka kwao jifunze kuridhika ni kufurahia maisha bila kumiliki vitu vingi vya mwilini
 
Kuna mijitu itasema maliza haraka kunywa chai na sisi utuongezee Chai...
 
Ms Leejay49 hujafafanua vizuri yaani tabia zao ni zipi na Umesema unaona hata aibu kwa mionekano yao.

Je wanafanya biashara gani na Wana ofisi ambazo zipo recorgnised na mamlaka?

Tuanzie hapo kwanza na ndio tutatoa ushauri, halafu umepindisha mambo mengi sana ambayo kimsingi tungeweza kujua ni namna gani ya kukushauri.
 
Upo sahihi mkuu!
Miaka yote niliyokua chuo nikitoka na marafiki wanalewa lakini mimi naishia kunywa juice hata kuonja sijawahi.
same here, hata sigara sija wahi vuta.
licha ya kuwahi kuishi na watu wanao puliza, vuta na wazinzi haswa.

nakumbuka Nisha wekewa hela, ninywe funda Moja ka safari. Nika piga chini 😁
 
Tatizo watu wa humu watatumia kama fimbo siku isiyo na jina..
Biashara zao ni hizihizi tu za kawaida maduka ya nguo viatu. Vipodozi mwingine home decorations na vitu kama hivyo

Sijui nisemeje lakini huwa wananishawishi kufanya vitu vya kijinga japo kwa akili sana,.
Lakini hawajafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…