Why should I confess?

πŸ˜‚πŸ˜‚ Utadangishwa na usipokuwa makini wanakugeuza punda, sasa hivi director anatembelea gari ya million 600 sio mchezo, na ilo jina la director alipewaga kwa sababu hiyo. Kamdangisha sana wema πŸ˜‚
Ila director yule mama namuinulia mikono juuπŸ™Œ ana pesa nyingi kuliko anazozionyesha watoto wake wanaspend kama watoto wa BakhresaπŸ₯Ή
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Utadangishwa na usipokuwa makini wanakugeuza punda, sasa hivi director anatembelea gari ya million 600 sio mchezo, na ilo jina la director alipewaga kwa sababu hiyo. Kamdangisha sana wema πŸ˜‚
Hatari Sana, nawa onaga vibinti vya chuo. Vina hangaika kwenye ma status.

Kuna saloon ya kike karibu na home, basi kutwa Wana shinda humo.
wame wekewa mpaka masofa πŸ˜‚πŸ€£
 
Nashindwa kufunguka kila kitu,.
Anyways... hata mimi sielewei ni nini kimeniconfuseπŸ˜‘
Funguka bhana ndio utapata ufumbuzi, mbona Mimi kuna siku nilifunguka jambo humu na nikapata na ufumbuzi japo watesi wangu ni watu wenye mamlaka lakini kwa sababu nilishapata ufumbuzi napambana hivyo hivyo kwa msaada wa Mungu na watu wema wenye kunitakia mema.
 
We Umesha sema wapaka bleach, Wana tattoo, vipindi.

Mara vipato vyao na biashara havi endani, hao ni street retailers πŸ˜‚πŸ€£
YEah ni kweli,. Sema ni watu ambao wanajuana na watu wengi na wako very supportive kwenye chochote nitakachotaka kufanya wananisapoti kwa asilimia zote mia moja

Kwa namna fulani hii ndio sababu ya kwanini bado huwa niko nao
 
Vitu gani??πŸ˜€πŸ˜€
 
Sio rahisi kuacha kupokea vitu kutoka kwao ukizingatia umepokea since 2022 umesema tena vitu vya gharama na pesa.
Pia mmeshajenga na mazoea kabisa kama ndugu kabisa japo tabia zao huzielewielewi
Punguza mazoea na kuwa too available wakikuhitaji punguza kupokea vitu kutoka kwao punguza mdogomdogo, kama ni mawasiliano punguza mpaka uwe kimya watatazoea na kujiongeza kuwa hutaki mambo zao
Otherwise, ukiendelea utaishia kuwa kama wao kitabia
 
Mpaka sasa miaka miwili ni kipi kibaya wamekufanya?

Mambo gani umeyaepuka?
 
Binafsi umenichanganya kwenye title ya uzi tu...huko kwingine kwenye hadithi yako unaeleweka

Au ulivyoandika "why should i confess? "ulitaka kumaanisha nini kwa kiswahili chake?
Nilimaanisha kwanini nikiri kwamba niko nao?,. Ningeweza kuwa nao tu hivihivi kimyakimya na maisha yakaendelea lakini naogopa wataniingiza matatizoni,.

ILi labda niweze kusaidika lazima niconfess kwanza am occupied,. But why?πŸ˜‘πŸ˜ƒ
 
Hapo hakuna unachokunywa Leejay49 ?🀣🀣
Manake kwenye uzi wako umekiri kuwa una vijitabia vya pombee kutoka kwa hao mashangazi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…