Why should I confess?

wanakulia timing
mara nyingi shughuli za giza zinakuaga nyuma ya watu wazuri na wasafi
kwa muonekano ambao wameona wewe unao
hao WAKUBWA unaokataa kuonana nao siku ukikubali tu hautakua apo ulipo kwa sasa

rudi kwenye maombi kama walianzisha mazoea taratibu unacheka cheka 😀😀
unaweza kaza sura taratibu wakasepa
 
Nili Soma story ya mdada mkenya kwenye group, ana sema ali enda kwa ajili ya conference.

akawa approached na mtu, kuwa Kuna zawadi yake ya 50000usd. Ila awe entertainer wa mtu 1.

aka kubali kwenda, ali kuta 4 people, na Alisha kuwa ame saini confidential document.
Kibaya kwenye conference Alisha aga kaondoka.

walicho mfanya masikini ni triple entendre, yaani ana ongea ana Lia hadi huruma.
akawa ana sema, umri wa kuolewa uli kuwa tayari.

Mchumba wake kamkataa, ana omba anyone amstiri. Coz she can handle everything kuanzia dowry mpaka ndoa yenyewe 🤣😂
 
Baba yangu aliwahi kunikataza kuwa na rafiki wa hivyo wakati nipo sekondari, huyu sio kwamba alikuwa ni rafiki tu bali alikuwa ni ndugu kabisa. Cha ajabu sasa mimi ni mtu wa swala 5 na huyo ndio akawa rafiki yangu yani alinipendaga mwenyewe kama hivyo, mazawadi n.k

Siku moja baba yangu alinipa kichapo cha mbwa mwitu sikwenda shule wiki nzima uso, miguu yote imevimba. Na alinipiga mbele ya huyo rafiki yangu dada wa watu akaona isiwe tabu akahama kabisa na urafiki wetu ukaishia hapo.

Baba yangu mwenyewe alikuwa anakunywa pombe sana tu ila hakutaka kabisa niwe rafiki na mtu wa aina ile

Wakati nipo chuo nikaambiwa yule dada alifariki na Ukimwi. Nilimuona baba yangu amenisaidia sana japo ile siku aliyonichapa nilimchukia kweli kweli
 
Vitu vya kijinga kama vipi
 
Pole sana. Fanya haraka kuachana nao hao watakupotezea future yako.
Inaonekana pia pesa zao siyo za uhalali na wewe unazipokea tu na watakuingiza kwenye masingaobwe yao very soon.
 
Hiyo siku uliyolewa hadi ukazima, una hakika hawakukufanya chochote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…