Why should I confess?

Why should I confess?

Au ulivyoandika "why should i confess? "ulitaka kumaanisha nini kwa kiswahili chake?
Napita tu comrade 😆
FB_IMG_17363337441807026.jpg
 
Mpaka sasa miaka miwili ni kipi kibaya wamekufanya?

Mambo gani umeyaepuka?
Mpaka sasa hawajanifanya kibaya labda kama wawe na mpango wananiandalia kwa siri,.

Huwa wananipa connections na watu ambao wao wanawaita wakubwa kwa maana kwamba nikitoka nao nitapiga hatua lakini mimi huwa nakataa .
Na wengine msome pia Manyanza DR SANTOS mshamba_hachekwi
 
Story ya matatizo na maujinga yako unatuwekea mtandaoni, do we care?

Sasa wewe na matatizo yako ya sikio unatuletea mtandaoni badala ya kwenda hospital....do you think we give a phuck??

Sasa wewe na matatizo yako ya sikio unatuletea mtandaoni badala ya kwenda hospital....do you think we give a phuck??

Daah😃😂😂
 
Leejay49 huu uzi ume zingua rafiki yangu, Kuna comments zina chekesha sana😂🤣
CHamsingi mfurahi mkuu,. Mie wala sina shida
Huwenda kweli nimekunywa em suggest tittle iwe nini ili mnielewe maana hata mwenyewe sijielewi.. ili tuwaambie mods wabadili Joanah

Active Payge Wand naomba nirekebishie tittle isomeke " Naombeni Ushauri " au vyovyote vile utakavyoona inafaa
 
Mpaka sasa hawajanifanya kibaya labda kama wawe na mpango wananiandalia kwa siri,.

Huwa wananipa connections na watu ambao wao wanawaita wakubwa kwa maana kwamba nikitoka nao nitapiga hatua lakini mimi huwa nakataa .
Na wengine msome pia Manyanza DR SANTOS mshamba_hachekwi
Basi inatakiwa uwe unaenda nao kwa taratibu huku ukifuatilia kwa ukaribu sana mienendo yao.
 
Sasa wewe na matatizo yako ya sikio unatuletea mtandaoni badala ya kwenda hospital....do you think we give a phuck??

Aisee, una tangaza amani, huku panga liko kiunoni🤣😂
 
Walijaribu lakini nilifanikiwa kuwachenga😄
😂😂 nilijua tuu, sasa we usiwapotezee wala nini kama wana ku support ila sasa kuwa makini usiamini mtu kabisa hasa mnapokula au kunywa ukienda chooni usiache kinywaji chako kunywa umalize ukirudi unafungua chupa nyingine na ukiwa nao usiwe unakunywa kupitiliza kwasababu kuna siku utajikuta una amkia hotel pembeni upo na libaba na hukumbuki ulifikaje. Jitahidi tuu uishi nao kwa akili,uzuri unaokena huna tamaa maana saa hizi ungekuwa ushapelekwa mpaka Dubai kula mavi 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom