Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

Natamani kuwa mzalendo kwa kupitia huu uzi ila baada ya hapa nauvua uzalendo ..tuendelee kusikia miili inaelea coco beach mbunge kupigwa risasi hadharani ,madiwani kucharangwa mapanga na wanao hoji mambo kuulizwa uraia wao

Anyway hongera zako Geza ila pia awe makini katika kufanya maamuzi huyo uliye muandikia huu ujumbe
Vinginevyo akikurupuka kama kawaida yake ,Vodacom itageuka kama TTCL ama ATCL
 
Sindano imeingia kwa watani.
Hivi Plisner wameirudisha Kisumu sio?
 
Food processing na telecoms wapi na wapi!!?

Ebu acheni kuishi last century. Soma CV yake. Huwezi kumlinganisha huyu na CEO wa TTCL. Ana uzoefu mwingi sana. Anaelewa industry dynamics, ameongoza key division ndani ya Safaricom ambayo division moja ni sawaswa na vodacom Tanzania nzima. Its what she has done AFTER university that matters.
 
Ebu acheni kuishi last century. Soma CV yake. Huwezi kumlinganisha huyu na CEO wa TTCL. Ana uzoefu mwingi sana. Anaelewa industry dynamics, ameongoza key division ndani ya Safaricom ambayo division moja ni sawaswa na vodacom Tanzania nzima. Its what she has doen AFTER university that matters.

The assumption was the same at kioko as well, imagine what happened at Precision air afterwards.
 
Post nzuri sana tena ya kizalendo. Ni matumaini yangu rais wetu atasikiliza na kufanyia kazi ushauri huu. Tanzania ni yetu. Ikiharibika wenye hasara ni sisi. Wengine hata nje ya Tanzania hatupajui. Kulinda rasilimali zetu ndio uzalendo namba moja

Nani kakwambia Vodacom ni rasili mali yetu? Who is the biggest shareholder?
 
Na kadegree kake ka food processing...

Unadhani degree in Food Science &Technology ni kufinya juice!?
A degree in whatever discipline gives one the power to expand thinking horizons and moulding ideas into tangible/actionable results.
Managers are there to inspire and offer pragmatic direction to their workforce and utilize whatever resources under their disposal to achieve the set corporate targets.

Sylvia Mulinge, go girl and show them how it's done!
 
kisheria Serikali overseer (custodian) wa all public interest

Sheria ipi? Am just asking tusije muingiza Mzee wetu chaka. Narudia tena a public company has nothing to do with the government isipokuwa kutimiza majukumu yake ya kutekeleza kisheria.

Worse enough unasema Vodacom Group wameinunua Safaricom . Sasa Safaricom itanunua vipi hisa za Vodacom TZ wakati Vodacom Group anahisa Vodacom TZ?

Kama issue ni Vodacom Group kuimeza Vodacom TZ into Safaricom hawahitaji Kenyan kufanya hivyo wanaweza kufanya hivyo baada ya kuwashawishi Milambo Holdings (which na yenyewe now ni almost Kenyan based) kuibadili jina na kuuita Safaricom TZ which is not likely. Vodacom tayari ni global brand haiwezi kujiita Safaricom tena.

Ukiangalia shareholding structure ya Safaricom na Vodacom TZ utagundua hiyo merger ni almost impossible
 
wewe kwenda zako kama hujui serikali ni custodian wa public listed companies ukalale! Uache kusumbua humu nd ndani.
 
Gezaulole, thanks. I for once, don't believe 100% that Ms Sylvia is coming without under the carpet economic sabotage agenda.
My dear president, Minister of Labour and Dr Makakala, I first declare that I don't have any ulterior motive against Ms Sylvia. I am also not interested with her position . Was this position advertised? Couldn't they find a Tanzanian suitable to fill this position?
Can someone please read what Gezaulole described above, and at least save us from another possible double-trouble?
My few cents.
 
Back
Top Bottom