Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

Post ya uwaziri ni ya kisiasa as long as ni mbunge mtu yoyote anaeza pewa ata kama amesomea kuchonga vinyago.. hizo ishu za capacity na ukenya ndiyo mjadala hapa na siyo gender kama unavyo dai wewe..


dogo hujawai fanya kazi multinationals nini.. kuna watu hata degree hawana ila ndio mabosi... degree haifanyi kazi ndugu.. bali ni utendaji halisi...

huyu mama kaanzia unilever.. kwenye sales dept na kauza sana bidhaa za uniliver kuliko kawaida.. na safari com walimnunua kutoka uniliver kwa kumpandishia dau baada ya kuona anajua kuuza...
na vodacom group huko uk wameona anafaa majukumu makubwa zaidi...

first class ya udsm tu ishu kupata hata ya sociology.. sasa huyu mama ana first class ya science tena university of nairobi.. hajasoma ngwibi huyu... kichwa chake ni kizuri... sababu kazi unafundishika tu hata kama hujasomea.. voda sio hospitali useme atatibu watu
 

It cover a portion of the problem but not all of it. If you look at the Vodacom prospectus ROI is 3%!!!! Bora kuweka hela benki and this is the leading telecom. Vodacom wenyewe wanajua. they even hired a Digital Transformation Director
 
You must be competition expert
 
It cover a portion of the problem but not all of it. If you look at the Vodacom prospectus ROI is 3%!!!! Bora kuweka hela benki and this is the leading telecom. Vodacom wenyewe wanajua. they even hired a Digital Transformation Director

Hawaja chakachua hawa, maana ninavyojua telecoms once you set your masts and have some threshold subscribers, the opex are so minimal, big portion of it is used for adverts. I'm worrying if the coupon rate shown in the offering memoranda depicts the reality. I guess the ROI is at 15+%.
 
Uhuru is a holder of bachelor degree in Presidency!! When i want to see stupidty i just log in to JF. I cant get this from the people surrounding me and when i want it in plenty i visit Nairobi.
Why don't you use the other handle. Ile ya timamu. Hio ndo poa in my opinion.
 
i have been having this strange feeling for a long time that this guy who calls himself MTK is a malawian.

i will comeback to explain in details about his nationality. just no that he is not a tanzanian.

Highly, likely.
 
Mnataka kumpaka matope raisi wetu,vodacom sio kampuni ya serikali,kwanini aingilie kisa CEO ni Mkenya,mbona CEO akiwa Mhindi,Kaburu,Mhindi au mnaijeria hampigi kelele,hapo nyuma Vodacom walikuwa na CEO kutoka Kenya Mr Rege hatukusikia hizo kelele,leo kunani?Je ina maana hakuna maCEO Watanzania nchi nyingine?au unataka huko nako wafukuzwe kisa ni Watanzania,kwanza vodacom ni kampuni ya kimataifa na ndio maana inawafanyakazi wa aina mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali duniani.Tuache wivu wa kike tufanye kazi,sasa mkimuweka Mtanzania ndio mtanufaika na nini zaidi kuliko akiwekwa huyo Mkenya?Badala ya kulaumu Watanzania inabidi tujiangalie kwenye soko la ajira la kimataifa ,si siri Watanzania hatupo makini na kazi ,ukipewa madaraka basi hata kazi hatufanyi ,tunaingiza siasa na kujuana kwingi.Kifupi tunashindwa kudeliver na hiyo sio siri,tunawaza kuiba tu na kujitanua.Kwa kazi Wakenya wako juu,hapa ukimsimamia mtu kufanya kazi anaanza kulalamika kuwa unamwendesha na visingizio chungu nzima kazi kushinda FB na JF
 
Download file
 
Mtandao kama Vodacom unataarifa(data) asilimia kubwa sana za watanzania wahali zote za kiuchumi yaani hali ya juu (unaweza kukuta hata tajiri kama bakhresa,mengi wanatumia), hali ya kati na hali ya chini kama watu wa huko vijijini wanautumia sana.
Sasa kwa nchi hasimu kama Tanzania na Kenya haitakiwi hata kidogo kumwacha huyo mwanamama amiliki au awe na access ya data zetu, what if National Intelligency service (NIS) wanamtumia? je huyu mwanadada tumemfuatilia vizuri tukaona hana madhara?
"information is power" dunia hii ya leo inaongozwa kwa kua na information nahisi kenya wako up to something for this!
 
Most of Tanzanians discuss individuals instead of facts, I have read whole article but I can simply say "Writer" tried to show his jealous and hate over Kenyans, he/she has not indicated how is Vodacom going to fail under Slyvia Mulinge, why is Slvyia not fit for the position?, is she not qualified for the position? And why shoud Magufuli intervene with private companies managerial matters? Vodacom is not TTCL brother, learn to differentiate private and public companies.
 
Unajua chochote kuhusu Telecom brother ? Maana unadhania data zinaweza ku accessiwa na yeyote..And who is fit for this position sasa ambae atazuia data zisi assesiwe kama huyo dada hafai? Brothers acheni majungu fanyeni kazi kwa kujituma mtauja kuteuliwa hata nyie mkaiongoze Safaricom ya Kenya...Kazeni buti
 
I am a minority shareholder n it's only GoT can protect my shares n prevent what befell the likes of PW that was making profit n started making loss immediately after being listed. Unfortunately was and is under under management of Kenyans Kioko et al that awarded themselves pecks n went home with hefty packages. Tanzanians have suffered enough.
 
nipe mkenya mmoja wa mfano katika kuendesha makampuni ya Tanzania.
 
Hahahaha so who should be appointed to take over from Ian Ferrao?
 
Don't involve politicians in management decisions of private companies. If Tanzanians are really patriotic and care about this trend of importing top management by Vodacom, then they should boycott Vodacom services.!!! Simple and clear!
 

brother niko kwa industry ya Telecom fo 3 years, i know enough by the way its matter ya Telecom+ICT as head she can access anything!
 
Wakenya wanahistoria ya kuua mashirika ya kiTanznania kwa maslahi ya makampuni yao, mifano ipo mingi sana! Na hii inasababishwa na close proximity ya kijiografia, hivyo ni rahisi hata kuwajaza waKenya katika positions zinazoweza hata kufanywa na watz. Huwezi linganisha na CEO kutoka SA au Nigeria, ni ngumu kujipendelea maana nchi zao ziko mbali na yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…