Post ya uwaziri ni ya kisiasa as long as ni mbunge mtu yoyote anaeza pewa ata kama amesomea kuchonga vinyago.. hizo ishu za capacity na ukenya ndiyo mjadala hapa na siyo gender kama unavyo dai wewe..
dogo hujawai fanya kazi multinationals nini.. kuna watu hata degree hawana ila ndio mabosi... degree haifanyi kazi ndugu.. bali ni utendaji halisi...
huyu mama kaanzia unilever.. kwenye sales dept na kauza sana bidhaa za uniliver kuliko kawaida.. na safari com walimnunua kutoka uniliver kwa kumpandishia dau baada ya kuona anajua kuuza...
na vodacom group huko uk wameona anafaa majukumu makubwa zaidi...
first class ya udsm tu ishu kupata hata ya sociology.. sasa huyu mama ana first class ya science tena university of nairobi.. hajasoma ngwibi huyu... kichwa chake ni kizuri... sababu kazi unafundishika tu hata kama hujasomea.. voda sio hospitali useme atatibu watu