Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #21
kisheria Serikali overseer (custodian) wa all public interestPLC by having Public haina maana kuwa ni kampuni ya serikali au ni controlled na serikali.
Public in PLC ina maana ya kuwa sasa inamilikiwa na watu wengi na yoyote anaweza kuwa mmiliki akinunua hisa.
stupid postSasa si umwambie Magufuli? Unatuambia sisi ndio tufanye?
Wanataka ku-take over Vodacom, washauza Safaricom kwa Vodacom South Africa.Na kadegree kake ka food processing...
Wanataka ku-take over Vodacom, washauza Safaricom kwa Vodacom South Africa.
Na kadegree kake ka food processing...
Food processing na telecoms wapi na wapi!!?
Food processing na telecoms wapi na wapi!!?
Ebu acheni kuishi last century. Soma CV yake. Huwezi kumlinganisha huyu na CEO wa TTCL. Ana uzoefu mwingi sana. Anaelewa industry dynamics, ameongoza key division ndani ya Safaricom ambayo division moja ni sawaswa na vodacom Tanzania nzima. Its what she has doen AFTER university that matters.
\The assumption was the same at kioko as well, imagine what happened at Precision air afterwards.
Post nzuri sana tena ya kizalendo. Ni matumaini yangu rais wetu atasikiliza na kufanyia kazi ushauri huu. Tanzania ni yetu. Ikiharibika wenye hasara ni sisi. Wengine hata nje ya Tanzania hatupajui. Kulinda rasilimali zetu ndio uzalendo namba moja
Na kadegree kake ka food processing...
KWANZA WATAJAA WAKENYA
kisheria Serikali overseer (custodian) wa all public interest
Compatition commission lazima waangalie hii, sisi ndio wenye last say especially when it come to our national security issues.Wanataka ku-take over Vodacom, washauza Safaricom kwa Vodacom South Africa.
wewe kwenda zako kama hujui serikali ni custodian wa public listed companies ukalale! Uache kusumbua humu nd ndani.Sheria ipi? Am just asking tusije muingiza Mzee wetu chaka. Narudia tena a public company has nothing to do with the government isipokuwa kutimiza majukumu yake ya kutekeleza kisheria.
Worse enough unasema Vodacom Group wameinunua Safaricom . Sasa Safaricom itanunua vipi hisa za Vodacom TZ wakati Vodacom Group anahisa Vodacom TZ?
Kama issue ni Vodacom Group kuimeza Vodacom TZ into Safaricom hawahitaji Kenyan kufanya hivyo wanaweza kufanya hivyo baada ya kuwashawishi Milambo Holdings (which na yenyewe now ni almost Kenyan based) kuibadili jina na kuuita Safaricom TZ which is not likely. Vodacom tayari ni global brand haiwezi kujiita Safaricom tena.
Ukiangalia shareholding structure ya Safaricom na Vodacom TZ utagundua hiyo merger ni almost impossible