Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

W

We know of a bunch of Kenya's nyang'auz who are neither educated nor competent. English inawasaidia
 

Yet I'm not content regarding her accomplishment. She has nothing to offer to that plc. We need a person who at least has inter regional if not intercontinental experience. Tunataka mtu angalau atoke Deutch Telecom hata Viatel, tutajua kwamba some experience will come in.
 
\

Kwani yeye ni Kioko? Anaeamua ni mwenye kampuni
As a CEO of PW, alikuwa nahusika direct with operations, performance , he was buying manager for Pw, responsible to direct the company to thrieve, maamuzi yake influenced the company as a whole, the question now is, why these appointed CEO"s tend to kill the sprit of these companies unsteady of running them to better performance , why should we accept them kama watangulizi waliharibu badala ya kujenga.
 

Our labour laws and policy should be observed.
 
W


We know of a bunch of Kenya's nyang'auz who are neither educated nor competent. English inawasaidia

Inawezekana lakini mimi niko coporate na moja ya skills muhimu ni communication. Tunatakiwa kufanya presentations, case studies, offer persuasive counter arguements etc katika mazingira ya kazi na biashara. Usipuuzie hiyo skill. Nime-interview watu wanonyesha grade kwenye cheti nzuri lakini hawana utashi wa kumshughulikia mteja.

Hao sio asset. Sasa huenda ulikutana na nyang'auz lakini wa-TZ wengi huwa ttunasema hivyo 'as an excuse'. The other issue is attitude. Naona watu kibao wanalalamika mkenya kwenye private sector kuwekwa CEO. How ridiculous is that? Unafikiri shareholders wa Vodacom wanataka kupoteza hela waweke zwazwa? Mbona aliyepita hamkulalamika? Alikuwa Mtanzania? Sisi tumemtoa CEO mwenye experience TTCL tumeweka banker kwa sababu ana masters na kuvaa shati la kijani
 

So your arguement is, kwa sababu CEO wa PW unona alifeli na ni mkenya, basi all Kenyan CEOs will fail?

BTW all CEOs are appointed by the board who represent shareholders. There is nothing new here
 

Anauzoefu in the right market. Alafu unvyosema 'tunataka' unamaanisha wewe na nani? CEOs are appointed by the baord who represent shareholders. What percentage do you hold?
 

In the pretext of good communication and presentation skills, Tanzanians have not been given an opportunity to work and demonstrate their capabilities. A number of foreigners without or with moderate skills got contracts and lucrative jobs in Tanzania. It is a painful thing to see foreigners employed as librarians, teachers, even bank tellers. I agree that correct attitude is key, however, there are quite a number of Tanzanians with impressive skills and attitudes. The question is, why Sylvia?

Nenda nchi yoyote duniani, wanalinda uchumi wao, wanalinda ajira zao. Wewe nenda hapo Kenya, uwe secretary tu kama hawakuwekei sumu ufilie mbali.

I can't wait for another opportunity to work with a Kenyan. I love what usually happens, atanikimbia tu.
 
Anauzoefu in the right market. Alafu unvyosema 'tunataka' unamaanisha wewe na nani? CEOs are appointed by the baord who represent shareholders. What percentage do you hold?

How do you know if I'm or not a non executive member of the board.
N.B. This is JF where people of all sorts are in here.
 

For your uneducated mind,Safaricom is a breeding ground of talent and a convergent of best brains any telco can assemble!
Yale,Harvard and MIT all have Safaricom as their case study on how best to push socio-economic agenda using telcos.
You cite akina Viatel and Deutch Telecom as if they're the Poster Boys in the field forgetting that Safcom and Voda Tz have much in common in the market segment they serve. Technical wise they are all at per with any other telco peer in the world!

Stop your inferiority complex!
 

There are rules and there exceptions to the rule. You cant site exceptions as an arguement against the rule. Naamini wapo foreingers wakutosha ambao sio competent. What has this got to do with Sylvia? Her CV is public knowledge. Saafricom CBU ni kama Vodacom Tanzania nzima. Safaricom inaingiza mara kumi ya revenue za TZ.

Ni kawaida sana katika group of compnies kutoa talent one place that is perfoming well to another smaller entity. Watanzania wametoka Telecom za hapa ni kuenda kuongoza departments in other countries kama Sierra Leone ambazo ni ndogo. The same has happened in other industries in the country. The question of why Sylvia, lies in her CV. What I am curious to know is WHY NOT SYLVIA? Yaani one would think there was an obvious, better qualified candidate that was passed over based on the noise
 
Mimi ni mtanzania pia na huwa nakwera na ulalamishi usio na msingi
Mimi ni mtanzania pia na huwa nakwera na ulalamishi usio na msingi

Sawa. Tuanzie hapa, hakuna mtanzania mwenye sifa zinazotakiwa?
Huyo CEO aliyepita, akijua kabisa kuwa mkataba unaisha hakufanya succession?
Hakuona kabisa mtu wa kumrithi wote viazi na vilaza?
Braza, matusi haya.
 
Hiyo Board iliyokaa na kumpa Sylvia hiko cheo, haitopita muda mrefu itabidi wakae tena kutafuta mtu mwingine!! Kuna vitu hawaku consider ila wata kumbushwa, Hiki kipindi Tz inapambana vita ya kiuchumi voda isingependa iwe adui kwasabubu haiwezi shinda, ukizingatia nyumbani kumenoga.
 
Sawa. Tuanzie hapa, hakuna mtanzania mwenye sifa zinazotakiwa?
Huyo CEO aliyepita, akijua kabisa kuwa mkataba unaisha hakufanya succession?
Hakuona kabisa mtu wa kumrithi wote viazi na vilaza?
Braza, matusi haya.

Vodacom senior management wameondoka wengi for various reasons na kuendesha kampuni kama Vodacom, inabidi uwe 'tested' ndio maana uzoefu wake kusimamia division yenye ukubwa wa VodaTZ ni muhimu. Ni part of the 'winning team' of Safaricom who will bring learnings. So to answer your question...no hakuwepo
 

Sasa kwanini voda iwe adui? Imefanya nini kibaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…