Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

Adui ni 'victim mentality' ya watanzania.

CEO was Credit Suisse (benki kubwa Switzerland) anatoka Ivory Coast. Analipwa $9.9 millio kwa mwaka

Tidjane Thiam - Wikipedia
Sure sure
Market doors must be opened. Tuchangamke, otherwise tutabaki hapa hapa.

If we cant be competitive by choice, we will then have to be by survival
 
ati winning team? unajua historia ya Safaricom wewe? Hebu nieleze ilichukua miaka mingapi kabla another company haijaruhusiwa kuingia Kenya? Safaricom monopoly imetengenezwa na wanasiasa behind mobiletelea!
 
so?
 
Duuh
 
Serikali inaweza kuingilia kama taratibu za ajira zimekiukwa. Kwanini waajiriwe Wakenya wakati Watanzania wako?. Au VodaCom sasa inamilikiwa na Wakenya? Aliyoyasema kwa sehemu kubwa ni kweli. Wakenay wameua makampuni mengi ya TZ
 
Serikali inaweza kuingilia kama taratibu za ajira zimekiukwa. Kwanini waajiriwe Wakenya wakati Watanzania wako?. Au VodaCom sasa inamilikiwa na Wakenya? Aliyoyasema kwa sehemu kubwa ni kweli. Wakenay wameua makampuni mengi ya TZ
Tatizo sio watu wapo tatizo ni mafanikio aliyoyafanya Safaricom. Hatuangalii vyeti na uwezo. Tunaangalia uchapaji kazi. Dunia hii ya kibepari vyeti vyako baki navyo tuletee uzoefu mezani. Mwenye mafanikio katika kazi aliyoyafanya kama ya huyu mwanadada ndio anaepaswa kulalamika.....

Kama una mafanikio kama ya huyu dada katika kazi ndie anaepaswa kulalamika. Vinginevyoo tiache na tuchape kazi.
 


Sema mnataka mzungu. Miafrika itaacha lini kuabudu mzungu.
 
It will be very foolish of them (Safaricom) going public without getting a nod from GoT. But if the idea was to kill or buyout Vodacom TZ, then this might be a blessing in disguise for TTCL. Vodafone tz themselves they haven't been angles, from duplicate vouchers printing scandal, to dishonest ringtone loyalty payout. Financial services needed to be separated from voice and data business. We don't know what lays ahead but if the idea was Safaricom takeover vodacom Tz then let them have it, but i'm sure they know by now that in Tanzania NO ONE is allowed to dominate any industry no matter who you're Barrick Bakhresa or Brookside.
 
I second your motion Geza Ulole
 
Wale matajiri na wanasisa waliomiliki shares nyingi za Vodacom kipindi cha ujinga ujinga wetu pamoja na Shiva kama wamehamia Nairobi unategemea nini? Unaijua remote wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…