MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,924
- 6,854
Wacha ulevi wa matamko! Uzalendo usio na tija hauna maana, tupate watu wenye uwezo, weledi na maono sahihi, watalivusha taifa letu, mlundukano wa wajinga wengi wanaoshangilia na kupiga makofi tu; kila wanalolishwa sawa kazi yao kugonga meza, haitusaidii kama taifa kwa sababu hakuna mwenye HAKI MILIKI YA NJI YETU!So tell me one success story of a Kenyan in managing director position in Tanzania. Sorry, I don't know any so far! And I have researched the subject.