Why Tanzania might be treading on dangerous waters

Tupe story kidogo kuhusu hiyo 2007 ilikuwaje huko kenya?
 
Slowly things are unfolding...niliwaambia
 
Tanzanians should remember that many members and leaders of ISIS in Mozambique are Tanzanians and that many have likely had their eyes on their home country for quite a while.
TISS wanafaa wasambaratishe sleeper cells before it's too late.
 
The frequency of the attacks is slowly increasing.

 
The jihadists may try to exploit the current political situation... watch this space
 
ISCAP Mozambique (ISIS Terrorists) attacked 3 villages in Mtwara Tanzania, burnt down 3 Churches and killed local admin and civilians: Ref: 28/10/2020. The group intends to escalate militancy in Southern and Coastal Tanzania.
 

unafkir serikali itaajiri watu wote?
 
unafkir serikali itaajiri watu wote?
Kwani wapi nimesema serikali itaajiri watu wote?

Umefikaje kwenye swali hili kutoka kwenye maandishi yangu?

Mimi na support open market, sio central planning economy, unaelewa tofauti za mifumo hiyo miwili?
 
Ahsante sana Mkuu huyo anayejiita MWENDAWAZIMU kashupaza tu shingo yake ili kupora madaraka bila kuangalia athari kubwa sana kwa Taifa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…