Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2]Habari wadau..
Mbona watu wengi wenye mafanikio wamesoma kayumba?
Hizi shule za kizungu zinakosea nini kuandaa watoto ?
Nimepima sector zote.. kuanzia michezo, business, politics, music, engineering naona kayumba wanaongoza...
Nawaza tu hizi shule za mtoto kubeba begi kubwa na kuchukuliwa na school bus saa 12 asubuh na kurudi saa 10 jioni au saa 12 jioni. Zinaweza kweli kumuandaa samatta au mchezaji hata wa yanga na simba mbeleni
Nawaza diamond wa mbeleni anaweza toka hizi shule kweli
Nawaza magufuli wa mbeleni anaweza toka hizi shule kweli?
Nawaza mwanangu nimpeleke goverment school kisha niwape walimu hela za tution shuleni kwake.. na kisha ada ambayo ningelipa tusiime nijikaze na kujitahidi kumjengea kila mwaka chumba kimoja...
Target kila mwaka chumba kimoja... ili nikishindwa maisha wapate hata pa kupangisha kama nikiondoka duniani...kuliko kupeleka ada shule ambazo imetokea corona ya miezi miwili tu zinanyanyasa walimu. Shule haziruhusu talent zinakomaa na mtoto siku nzima anashinda darasani hapati hata muda wa kucheza
sasa ulidhani ni za juu?Mkuu ualimu na nursing ni kada za chini?
Hivi ndugu yangu maana ya elimu Bora ni Nini hasa? Vigezo vyake ni vipi?Siko hapa kubishana,
ILA UKWELI UTABAKI PALE PALE,
Kama unataka elimu Bora, na Unufaike na jasho lako kwa unaemsomesha.
Usjiuluze mara mbili mbili, Peleka mwanao INTERNATIONAL SCHOOLS.
Achana na kuwaza huu ushuzi wa TUSIIME, GREEN ACRES, na Utopolo wingine wa KAYUMBA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siko hapa kubishana,

Mkuu mm sijawahi kuona utofauti wa shule za kayumba na shule za private hizo za sijui Tusiime, St Francis, St Anne wala Kaizirege . Wanafunzi wote wakimaliza vyo hakuna mwenye uwezo wa kubuni, kugundua wala kuvumbua na tatizo mfumo wa elimu wote wanatumia huo huo. Utofauti kidogo ni lugha ya kingereza basi.Ili kufanikiwa kwenye maisha ya Kitanzania lazma uwe Aggresive kwenye kuchangamkia fursa. Ni km jinsi mchimba madini anavyopambana kutafuta dhahabu.Tatizo shule za English Medium zinamfundisha mtoto kana kwamba life is very smooth and common with the same formular. Uzungu uzungu sana.
Lakini kiuhalisia ili kufanikiwa kimaisha lazima upitie hussle nyingi ikiwemo kufanya kazi za dhihaka,kulala chini,kuokota makopo, kushinda porini n.k Watoto wa English medium wanafundishwa aina fulani wa maisha ambayo hayapo kwenye jamii yetu kwa kiasi kikubwa. Ndio maana wakimaliza shule wanaishia kutembea na bahasha tu
Watoto wa Saint Kayumba wanasoma katika hali ya kumfanya mtoto apambane. Hakuna kudeka deka kule. Mtoto anaenda shule kabeba fagio,begi,jembe, na dumu la maji. Tayari anaanza kufeel machungu ya maisha mapema na kuanza kumjengea hasira ya kuwa mpambanaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana ukawa sahihi kwa kiasi fulani lakini kuna utofauti kwa kiasi fulani kwamba mtoto wa S.Kayumba anaweza kujichanganya katika mazingira tofauti ili kujitafutia riziki. Hawa wa Eng. Medium huwa wako dormant na very sluggish kwenye kupambana. Mda wote wanaweza kazi maofisini tu.Mkuu mm sijawahi kuona utofauti wa shule za kayumba na shule za private hizo za sijui Tusiime, St Francis, St Anne wala Kaizirege . Wanafunzi wote wakimaliza vyo hakuna mwenye uwezo wa kubuni, kugundua wala kuvumbua na tatizo mfumo wa elimu wote wanatumia huo huo. Utofauti kidogo ni lugha ya kingereza basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 yaani mtu asome intenational school then akoombe ajira ambayo mwisho wa mwezi analipwa ml1!Wewe unaona kucheza simba au yanga nayo ni mafanikio. Watu wengi tu wamesoma international school na issues zao ni international. Sasa mtoto wa IST au ISM akafanye nini simba na yanga acha masihara na maisha ya watu bana😂😂😂😂
Kwanza inaitwa International School of Tanganyika, pili mtu mwenye uwezo wa kulipa Ada ya 60+M kwa mwaka hawezi kuomba kazi ya u nurse! TafakariUmaskini tu,
ILA kiukweli elimu Bora Inapatkana INTERNATIONAL SCHOOLS.
Tanzania tuna uhaba sana wa ajira,
Ila Ni ngumu sana kukutana na bahasha ya kijana alietoka TANGANYIKA INTERNATIONAL SCHOOL akiomba ajira mitaani.
Pia, Ni ngumu kuskia graduate wa TANGANYIKA kaajiliwa ktk utumishi wa Umma.
Hasa hizi kada za chini chini Kama ualimu,nursing, n.k
Jiulize wakimalizaga wanaenda wapi?
Na hizi shule Kila mwaka zipo, na zinatoa wanafunzi wengi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu Bora Ni ile inayokusaidia kutatua changamoto zako binafsi na za jamii inayokuzunguka.Hivi ndugu yangu maana ya elimu Bora ni Nini hasa? Vigezo vyake ni vipi?
Umeongea pointMkuu mm sijawahi kuona utofauti wa shule za kayumba na shule za private hizo za sijui Tusiime, St Francis, St Anne wala Kaizirege . Wanafunzi wote wakimaliza vyo hakuna mwenye uwezo wa kubuni, kugundua wala kuvumbua na tatizo mfumo wa elimu wote wanatumia huo huo. Utofauti kidogo ni lugha ya kingereza basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anachekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mtu asome intenational school then akoombe ajira ambayo mwisho wa mwezi analipwa ml1!
Kwahyo, unakiri tatizo sio Ubora wa elimu, bali Ni pesa.Kwanza inaitwa International School of Tanganyika, pili mtu mwenye uwezo wa kulipa Ada ya 60+M kwa mwaka hawezi kuomba kazi ya u nurse! Tafakari
Thanks chief..kwa leo Sina labda siku nyingineElimu Bora Ni ile inayokusaidia kutatua changamoto zako binafsi na za jamii inayokuzunguka.
Uliza jingine chief,
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ya kukariri tu, kwenye uhalisia ni 10%Na Mimi nakazia hapo,
Tatizo tulilokua kua nalo hapa Ni mfumo wa elimu.
Mfumo unaongelea mpaka mitaala ya elimu.
Elimu tunayojifunza KAYUMBA na hao TUSIIME kuja kufanya mitihani ya NECTA imepitwa na wakati.
Ndo maana kwa elimu yetu hii sio ajabu,
Kumkuta ana PHD/MASTERS ya pale mlimani afu yupo yupo tu Hana RAMANI mtaani.
Ni kwasababu TU, elimu aliyonayo hajui haifanyie nini.
Kwahyo
Ukiona mtu katoboa kwa mfumo wetu huu,
Basi Kajiongeza kivingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Only best school . bluffing!Habari wadau..