Mtoa mada aseme TU ukweli, Usawa unabana.
Ila Kiukweli matunda ya INTERNATIONAL SCHOOLS yanaonekana hata kwenye maisha yetu ya kawaida.
Vijana wapo wengi TU hapa dSm, wamesoma international schools.
Wako kibao posta wanafanyakazi kwenye makampuni makubwa makubwa ya kimataifa wanatengeneza PESA.
Wengine wako hapo k'koo, Buguruni na bandarini wanasimamia BIASHARA KUBWA KUBWA TU.
Ukibahatika hata KUKAA nao,
HATA maongezi Yao unaona kabisa wanakitu Cha ziada vichwani mwao.
HATA MIPANGO YAO YA KIFEDHA, IKO KIMATAIFA MATAIFA ZAIDI.
Sent using
Jamii Forums mobile app