Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Tumia akili yako vizuriMkuu ualimu na nursing ni kada za chini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia akili yako vizuriMkuu ualimu na nursing ni kada za chini?
Brother naona Unachanganya Mambo; Kuna MAFANIKO(SUCCESS) na UMAARUFU(CELEBRITY, FAMOUS)Nawaza diamond wa mbeleni anaweza toka hizi shule kweli
Nawaza magufuli wa mbeleni anaweza toka hizi shule kweli?
Shule za kimasikini watoto uwa wanajichanganya kila nyanja mitaani ndio maana ata bongo zao zinakuwa janja tofauti na hawa Broiler wa international school..
mfano hai unaweza ukawachukua watoto wawili wa kayumba na international ukawaacha mji ambao wote ni wageni kwa muda. Mtoto international atakufa njaa ila kayumba atajichanhanya na anatoka maisha apo apo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wepi hao mkuu? Akina Kaoge, Amber Rutty, Delicious nao wamesoma international school?Mkuu nastaajabu kuona ata tabia za ovyo za ushoga ndipo zinatokeaga kwa asilimia fulan tofaut na kuona shule za kayumba kuna shoga. Mara waali wAnawafanyia michezo mibaya watoto bad vurugu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio point.. miaka hio hakukuwa na private schools nyingi ndio maana wasomi wengi wamesoma government..98 % ya wanafunzi wa miaka ya 90s wamesema Kayumba mbona, so bulk ya watu wengi itaangukia Huko, hata ukichukus stats za negative Kama wezi na majambazi wote wataangukia Huko, Sababu ndio portion kubwa ya population
Mkuu nastaajabu kuona ata tabia za ovyo za ushoga ndipo zinatokeaga kwa asilimia fulan tofaut na kuona shule za kayumba kuna shoga. Mara waali wAnawafanyia michezo mibaya watoto bad vurugu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza tukubaliane international schools ni zipi hapa bongo maana naona wengine wanataja tusiime kama international, seriously? Tukiongelea international tuwaongelee akina IST, DIA, BRAEBURN, MIS, ISM, HOPAC and the like...Tusiime sijui St.Marys ni kayumba zilizochangamka [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio point.. miaka hio hakukuwa na private schools nyingi ndio maana wasomi wengi wamesoma government..
Hata hivyo marais wawili kati ya watano wamesoma private schools.
Magu na Mkapa.
Hizo international zina tumia mtaala wa cambridgeSina uhakika sana na hili ila kwa navyojua mimi ISM haitumii mtaala wa elimu wa hapa tz. Kwa mwenye kujua zaidi atujuze zaidi.
Suala la mafanikio ya mtu halihusiani kabisa na aliposoma, kuna ambao hawajasoma hata kayumba na wamefanikiwa sana.
Wewe unaona kucheza simba au yanga nayo ni mafanikio. Watu wengi tu wamesoma international school na issues zao ni international. Sasa mtoto wa IST au ISM akafanye nini simba na yanga acha masihara na maisha ya watu bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajuaje kama hawakua nayo.. ongea na wazee waliosoma seminary kipindi hicho kama hawakulipa ada.Ni uongo kusema mkapa baba yake alimlipia ada ... shule za mkoloni zilikuwa under kanisa nyingi.. ndio maana hata tabora boys na pugu aliyofundisha nyerere haikuwa na jina hilo.. lilikuwa na jina la kidini . Peleleza
Labda magu na sababu kanisa lilikuwa linatoa scholarship kwa watoto wa eneo hilo ambao wamekosa nafasi goverment schools.. Ila ni uongo kusema magu baba yake ama mama yake alimlipia ada seminary sababu apate elimu bora . Huo ni uongo.. hata hela ya kulipa ada hawakuwa nayo
Unajuaje kama hawakua nayo.. ongea na wazee waliosoma seminary kipindi hicho kama hawakulipa ada.
Halafu hapa point sio ada point ni kusoma private vs government schools.
Kama ni ada mbona watu wengi wanasoma Feza schools bila kulipa ada.
Kuna watu wanapata full scholarship IST ?
Hapa tunaongelea shule za private vs government.. mbona kuna watu wanasomea feza schools bure kabisa?Tafuta historia ya magufuli uisome . Utapata majibu
Pia mkapa ametoa kitabu kinaitwa My life, My purpose kinunue mtandaoni usome maelezo yake mwenyewe mkapa.. safari yake ya elimu na maisha ikoje
Hapa tunaongelea shule za private vs government.. mbona kuna watu wanasomea feza schools bure kabisa?
Point ni kwamba marais wawili wamesoma private schools iwe wamelipa ada wao au wamesoma bure.