Why watu wenye mafanikio wamesoma kayumba? Samatta, Diamond, Doctors, Engineers, President etc

[emoji2][emoji2][emoji2]
Eti kila mwaka chumba kimoja"
Nakumbuka hizi idea enzi hizo vijiweni tunapiga story za aina hii,, kila mwaka chumba kimoja"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili kufanikiwa kwenye maisha ya Kitanzania lazma uwe Aggresive kwenye kuchangamkia fursa. Ni km jinsi mchimba madini anavyopambana kutafuta dhahabu.Tatizo shule za English Medium zinamfundisha mtoto kana kwamba life is very smooth and common with the same formular. Uzungu uzungu sana.

Lakini kiuhalisia ili kufanikiwa kimaisha lazima upitie hussle nyingi ikiwemo kufanya kazi za dhihaka,kulala chini,kuokota makopo, kushinda porini n.k Watoto wa English medium wanafundishwa aina fulani wa maisha ambayo hayapo kwenye jamii yetu kwa kiasi kikubwa. Ndio maana wakimaliza shule wanaishia kutembea na bahasha tu

Watoto wa Saint Kayumba wanasoma katika hali ya kumfanya mtoto apambane. Hakuna kudeka deka kule. Mtoto anaenda shule kabeba fagio,begi,jembe, na dumu la maji. Tayari anaanza kufeel machungu ya maisha mapema na kuanza kumjengea hasira ya kuwa mpambanaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndugu yangu maana ya elimu Bora ni Nini hasa? Vigezo vyake ni vipi?
 
Mkuu mm sijawahi kuona utofauti wa shule za kayumba na shule za private hizo za sijui Tusiime, St Francis, St Anne wala Kaizirege . Wanafunzi wote wakimaliza vyo hakuna mwenye uwezo wa kubuni, kugundua wala kuvumbua na tatizo mfumo wa elimu wote wanatumia huo huo. Utofauti kidogo ni lugha ya kingereza basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana ukawa sahihi kwa kiasi fulani lakini kuna utofauti kwa kiasi fulani kwamba mtoto wa S.Kayumba anaweza kujichanganya katika mazingira tofauti ili kujitafutia riziki. Hawa wa Eng. Medium huwa wako dormant na very sluggish kwenye kupambana. Mda wote wanaweza kazi maofisini tu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂 yaani mtu asome intenational school then akoombe ajira ambayo mwisho wa mwezi analipwa ml1!
 
Kwanza inaitwa International School of Tanganyika, pili mtu mwenye uwezo wa kulipa Ada ya 60+M kwa mwaka hawezi kuomba kazi ya u nurse! Tafakari
 
Umeongea point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu ya kukariri tu, kwenye uhalisia ni 10%
 
Only best school . bluffing!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…