Why Women Cry

Why Women Cry

wanalialia kwa kuwa wanataka kuonewa huruma.wao hata wakati wa mambo ya raha wanalia
 
wanalialia kwa kuwa wanataka kuonewa huruma.wao hata wakati wa mambo ya raha wanalia

babu mie wala siombi huruma ya mtu kwa machozi yangu.....wat for??
kuna mijitu nakwambia hata they are not worth one's tears!!!
bora ninilie huruma ya Mungu tu!!!
 
dah twinushka mie yangu yalikauka
siku hiz when you find me crying ujue nimeguswa hasa vinginevyo nahis glands zangu za machozi zimepata hitilafu......

Wizi mtupu!
 
They cry ili wapate sympathy... ni kawaida ya wasanii
 
The beauty of a woman must be seen in her eyes , because that is the doorway to her heart - the place where love resides
 
hata nyie pia huwa mnalia!!!
kwani hujawahi kuona mtu anatokwa machozi ya furaha pia??

shem hapo sio kabisa ukiona mwanaume analia ujue kuna jambo zito na hilo jambo lingempata mwanamke angezimia
 
shem hapo sio kabisa ukiona mwanaume analia ujue kuna jambo zito na hilo jambo lingempata mwanamke angezimia

usiniembie shem.....
we basi hujuagi wenzio wanaliga tu hata ambapo mwanamke wala asingefikiria kulia LOL!!
 
Back
Top Bottom