Why Women Cry

Why Women Cry

nafatilia nyendo zako........na huyu mwenzio hapa chini

dah...!!!why do women cry though???

Mamushka give me a break please! Hutaki mjukuu nawe? LOL! Unakaba mpaka penalti?
 
kwa hilo huwa unanifahamu kisawasawa unauliza nini tena??
kuna wakati mwingine huwa sikabi hata chenga maana hazinihusu......lakini kwako nah nah!!! nin insurable interest and you knw that huh!!!
 
Hahaha! Ngoja nikutafutie mbinu ya kukukwepa manake LOL!
 
ewaaaaaaaaaaaaa!
nimefikiria sana juu ya swala la TAIGA WOODS NA ASHLEY COLE!...nadhani kwenye huu mjadala linahusika sana

(tatizo vidole vimechoka kugonga gonga keyboard😀
 
duh?mbn hatukutafutana?ubusy eeeeeeh?
ewaaaaaaaaaaaaa!
nimefikiria sana juu ya swala la TAIGA WOODS NA ASHLEY COLE!...nadhani kwenye huu mjadala linahusika sana

(tatizo vidole vimechoka kugonga gonga keyboard😀
 
ewaaaaaaaaaaaaa!
nimefikiria sana juu ya swala la TAIGA WOODS NA ASHLEY COLE!...nadhani kwenye huu mjadala linahusika sana

(tatizo vidole vimechoka kugonga gonga keyboard😀

Kwa kweli hivi vidole mpaka vitaota sugu sasa! Ngoja nikafungue vizibo sasa!
 
ewaaaaaaaaaaaaa!
nimefikiria sana juu ya swala la TAIGA WOODS NA ASHLEY COLE!...nadhani kwenye huu mjadala linahusika sana

(tatizo vidole vimechoka kugonga gonga keyboard😀

Kiongozi...kwani ulitaka kusemaje au ndo umeshasema ulichotaka kusema....lol
 
eeeeeeh jamani msinisemeeeeeeeeeeeeeeh

Wengine tumeumbwa vibaya eti! Miwivu tuuuuu LOL! Ngoja tuishie hapa manake mamushka akiiona hii ntanyimwa supu leo!
 
Si useme tu na kuumisi utamu wa mtarimbo wa muzee ya nyumba?
heheeeee mtarimbo niliulaza doro kwanza kabla ya kuja huku!!!!! lakini chrispin wakati mwingine unaongea vitu ambavyo ni karibu na ukweli, hivi ulijuaje kama nimeumiss??? oh karibu namaliza niurudie mtarimbo wangu kabla haujageuzwa mchi wa kijiji kutwanga kila kila kinu!!!
 
Back
Top Bottom