bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
heheeeee mtarimbo niliulaza doro kwanza kabla ya kuja huku!!!!! lakini chrispin wakati mwingine unaongea vitu ambavyo ni karibu na ukweli, hivi ulijuaje kama nimeumiss??? oh karibu namaliza niurudie mtarimbo wangu kabla haujageuzwa mchi wa kijiji kutwanga kila kila kinu!!!
hahaaaaaa nimekukoma leo kwa hilo neno la leo!!!