Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwa nini hajapiga magoti?Atafurushwa,shauri yake!
Huyu dogo ni nani mpaka anamkumbatia na kumpumulia Rais wetu namna hii?
Hivi mie sielewi mtu u a utajiri wa maana inakuwaje unakuwa bonge hivyo...mie account yangunikiwa na m5 tuu ata njaa sisikii na wala siliHuyu amekumbatiwa kabisa, anaonekana ana uspesho sana kwenye mambo ya kisirikali.
Tuombe Mungu tu asijambe, maana ushuzi wa mabonge-nyanya ni zaidi ya uozo wa sulphur.
Aione kwenye jalada: cocastic
Cc. kidampa chalamilaKwa nini hajapiga magoti?Atafurushwa,shauri yake!
Hawa ndo matajiri aiseeWakuu
Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko Zanzibar.
Sir Wicknell, amesema jana alikwenda Ikulu kumtembelea na kumfariji Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir Hassan.
Katika ujumbe alio-share mitandaoni, Septemba 11, 2026, Sir Wicknell amemuelezea marehemu Hafidh kama mtu mwenye hekima, unyenyekevu, heshima na moyo wa upendo, huku akiomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja Rais Samia pamoja na familia katika kipindi hiki cha maombolezo.
Wanampa freedom sana chivayoOya hizi hatutafungiwa JF yetu tena? Maana huyu ndo chanzo cha kutuweka kando kwa miezi