Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Hawa ndo matajiri aisee
Sijaona amevua viatu kama ndugu yangu Mwigulu
Money will take you places hujawahi ona
Hawa ndo matajiri aisee
Sijaona amevua viatu kama ndugu yangu Mwigulu
Bonge nyanya in POLEPOLE voiceMoney will take you places hujawahi ona
Uhuru wanampa wao, picha wanapiga wao na kupost wanapost wao. Sisi tukizichukua na kupost humu tayari inakuwa shidaWanampa freedom sana chivayo
Ndani ya ikulu hakuna siri, siri ni ya mtu mmoja mkiwa wawili basi hakuna siri.Kwanini wana habarisha Kila kitu? Naona kama mambo mengine ni private.
Kinana , balozi wa china hawakuvua piaHawa ndo matajiri aisee
Sijaona amevua viatu kama ndugu yangu Mwigulu
Wao hawapost, hizo anapost chivayo mwenyewe 😁Uhuru wanampa wao, picha wanapiga wao na kupost wanapost wao. Sisi tukizichukua na kupost humu tayari inakuwa shida
Chivayo ni nguzo muhimu ya ustawi wa kiongozi wetu mkuu.Wakuu
Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko Zanzibar.
Sir Wicknell, amesema jana alikwenda Ikulu kumtembelea na kumfariji Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir Hassan.
Katika ujumbe alio-share mitandaoni, Septemba 11, 2026, Sir Wicknell amemuelezea marehemu Hafidh kama mtu mwenye hekima, unyenyekevu, heshima na moyo wa upendo, huku akiomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja Rais Samia pamoja na familia katika kipindi hiki cha maombolezo.
Nikimwona Rais na msururu wa walinzi Huwa najiuliza mwisho wao na privacy yake Ina anzia wapi?Ndani ya ikulu hakuna siri, siri ni ya mtu mmoja mkiwa wawili basi hakuna siri.
Ukiwa tajiri hubabaishwi na nidhamu ya uoga.Hawa ndo matajiri aisee
Sijaona amevua viatu kama ndugu yangu Mwigulu
😂😂😂Hawa ndo matajiri aisee
Sijaona amevua viatu kama ndugu yangu Mwigulu
Rais wako mkikutana nje, ya ndani hayakuhusu.Huyu dogo ni nani mpaka anamkumbatia na kumpumulia Rais wetu namna hii?