Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Pascal Mayalla sema jambo.
Wewe utaona aibu ukifika nyumbani?Bi kizuka alivyoukubali huo mkumbatio Sasa😥
Aibu mtaona nyie,
Huu si msiba wa kwanza kutokea..hakukuwa na publicity km hii huko nyuma, baada ya mazishi msiba unabaki suala la familia..huwez kuonyesha kila mty anaekuja kuhani msiba, huu ni ujinga unafanyika.Kwanini wana habarisha Kila kitu? Naona kama mambo mengine ni private.
Tena akiwa kwenye eda na udhuHuyu dogo ni nani mpaka anamkumbatia na kumpumulia Rais wetu namna hii?
Anatubagaza in slow slow's voiceBonge nyanya in POLEPOLE voice
Hii picha ni baada ya msiba?
Jamaa linapenda sana kukumbatia hii pisiWakuu
Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko Zanzibar.
Sir Wicknell, amesema jana alikwenda Ikulu kumtembelea na kumfariji Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir Hassan.
Katika ujumbe alio-share mitandaoni, Septemba 11, 2026, Sir Wicknell amemuelezea marehemu Hafidh kama mtu mwenye hekima, unyenyekevu, heshima na moyo wa upendo, huku akiomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja Rais Samia pamoja na familia katika kipindi hiki cha maombolezo.
Kwanza kizuka,Wewe utaona aibu ukifika nyumbani?
Nenda kwenye page yake - Sir WicknellPicha ya kutengeneza.