Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

Attachments

  • Screenshot_20260911_135806_Instagram.jpg
    Screenshot_20260911_135806_Instagram.jpg
    202.9 KB · Views: 9
Wakuu

Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko Zanzibar.

Sir Wicknell, amesema jana alikwenda Ikulu kumtembelea na kumfariji Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir Hassan.

Katika ujumbe alio-share mitandaoni, Septemba 11, 2026, Sir Wicknell amemuelezea marehemu Hafidh kama mtu mwenye hekima, unyenyekevu, heshima na moyo wa upendo, huku akiomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja Rais Samia pamoja na familia katika kipindi hiki cha maombolezo.

Dini zinawahusu masikini.

Hilo Tipwa tipwa lioe kabisa.

Burw kabisa
 
Mjasiriamali au Mfanya biashara bilionea?

Kwanini Tanzania mna woga sana wa kusema kweli? Ingekuwa ni habari ya Elon Mask ungeandika "bilionea wa kwanza duniani " atoa pole, akiwa Mtanganyika unaandika "MfANYA BIASHARA MARUFU" NA AKIWA MZIMBABWE MNAANDIKA "MJASIRIAMALI" daa kweli elimu ya Tanganyika ni ya kuvukia barabara na kwendea chooni.
 
Wakuu

Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko Zanzibar.

Sir Wicknell, amesema jana alikwenda Ikulu kumtembelea na kumfariji Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir Hassan.

Katika ujumbe alio-share mitandaoni, Septemba 11, 2026, Sir Wicknell amemuelezea marehemu Hafidh kama mtu mwenye hekima, unyenyekevu, heshima na moyo wa upendo, huku akiomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja Rais Samia pamoja na familia katika kipindi hiki cha maombolezo.

Ni matatizo ya kuwa na rais wa bei ndogo. Hajitambui, hatambui kuchagua marafiki. Yeyote anayemsaidia kuiba, ni rafiki.
 
Back
Top Bottom