Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

Kuna namna hapa kati ya Wickeness Chimaviyo hasa kwenye wakati na ulimwengu huu wa mishangazi. Akina bashit watakuwa wanaumwa roho. Sikumbuki Samuya kumkumbatia hata Magu aliyemtengeneza. Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba mjue. The bay is now clear.
Kwahiyo jamaa Yuko na mshangazi
 
Aisee ni kweli kumbe, huyu anayezitoa hizo picha za mwamba kamkumbatia mama sijui huwa ana malengo gani!
Hana malengo yoyote bali kutaka wasiojua ukweli hata uvumi wajionee na kujua. Anayetoa hizi picha ni shujaa na mkweli na wala si chawa. Sometimes, the enemy is within. Kkkk.
 
Wakuu

Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko Zanzibar.

Sir Wicknell, amesema jana alikwenda Ikulu kumtembelea na kumfariji Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir Hassan.

Katika ujumbe alio-share mitandaoni, Septemba 11, 2026, Sir Wicknell amemuelezea marehemu Hafidh kama mtu mwenye hekima, unyenyekevu, heshima na moyo wa upendo, huku akiomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja Rais Samia pamoja na familia katika kipindi hiki cha maombolezo.

Itakuwa jambo jema kama tutajulishwa alitoa mkono wa pole dola ngapi.
 
Nimesikia huyu Bonge na mke wake wamepata ajali ya helicopter leo, wamekata moto.
Screenshot (202).png
 
Back
Top Bottom