Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

Kwanza, kwa mujibu wa Islam, hata ile kupeana mikono na mtu wa jinsia tofauti ambae sio ndugu yako wa karibu hua hairuhusiwi.

Sasa huyu hua ana bambia kabisa.

Watu wa protocol wameridhia kwa dhati hili jambo na kuona ni sawa hizi picha kwenda public?
Kwa hiyo mnataka zifichwe ili iweje?
Mtu mwenyewe kaua ndugu zenu, ni kiongozi haram, bado mnalilia ulaghai na unafiki wa kipuuzi kabisa!

Huyu mtu anayo heshima gani tena miongoni mwa jamii.

Yeye mwenyewe kaamua kufanya hayo uliyoona wewe, lakini yanakuumiza zaidi wewe?

jana nimeona picha ya mnafiki mwingine hapo hapo kwenye mahali hapo, amevalia mavazi na kujifanya msiba unamhusu zaidi yeye kuliko hata aliyeondokewa na mwenza, hii ni tabia ya kinafiki ambayo imeota miziz ndani ya taifa hili.
Hili jamaa la Zimbabwe angalau halionyeshi upumbavu huo.
Limevaa viatu na hakuna upuuzi wa kujifanya msiba ni sehemu yako unayekuja kutoa pole.
 
Na hajavua viatu na kugaragara chini kama Maduro na wenzie, by the way lukaku aone utofauti kati ya nguvu za uchawa na pesa.
 
Huyu ndiye alituponza tukafungiwa JF. Sasa kwa mara nyingine tena kakumbatiwa
 
Wakuu

Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko Zanzibar.

Sir Wicknell, amesema jana alikwenda Ikulu kumtembelea na kumfariji Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir Hassan.

Katika ujumbe alio-share mitandaoni, Septemba 11, 2026, Sir Wicknell amemuelezea marehemu Hafidh kama mtu mwenye hekima, unyenyekevu, heshima na moyo wa upendo, huku akiomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja Rais Samia pamoja na familia katika kipindi hiki cha maombolezo.

Kuna namna hapa kati ya Wickeness Chimaviyo hasa kwenye wakati na ulimwengu huu wa mishangazi. Akina bashit watakuwa wanaumwa roho. Sikumbuki Samuya kumkumbatia hata Magu aliyemtengeneza. Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba mjue. The bay is now clear.
 
Back
Top Bottom