Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

Zamani nilikuwa nawaheshimu sana wanawake wa kiislamu wanaovaa hijab na ninja kwa kudhani ni watu wa imani hasa!

Sijawahi kumtongoza mdada mvaa hijab ilhali wamejaa hii mitaa ninayoishi na sababu ni hiyo heshima yangu kwao.

Naufanyia mapitio huu mtazamo wangu kwa sasa nahisi umepitwa wakati.
Hakuna wadada wahuni km hao wavaa hijabu mzee na wanapendaga Sodoma na Gomora
 
Nenda kwenye page yake - Sir Wicknell
Screenshot 2026-09-11 at 13.18.22.png


CC Isanga family
 
Wakuu

Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko Zanzibar.

Sir Wicknell, amesema jana alikwenda Ikulu kumtembelea na kumfariji Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir Hassan.

Katika ujumbe alio-share mitandaoni, Septemba 11, 2026, Sir Wicknell amemuelezea marehemu Hafidh kama mtu mwenye hekima, unyenyekevu, heshima na moyo wa upendo, huku akiomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja Rais Samia pamoja na familia katika kipindi hiki cha maombolezo.

Baba yetu wa kambo
The BANKER himself
 
Back
Top Bottom