WID: Dear Women...

Tatizo mnataka ng'ome sabini.. Sasa usawa wa bashite ng'ombe sabini labda niwaumbewenyewe.!!

Subirini najichanga, lazima nifanye halal.. Huyu mtoto wenu siwezi kumpoteza aisee!!
mahari ukiambiwa utoe ng'ombe 70 unatoa mmoja hao 69 wanabaki deni utalipa anytime ukijiskia maishani we leta hata nusu.ugegedaji usio rasmi mimi huwa sifagilii kabisa shemela
 
mahari ukiambiwa utoe ng'ombe 70 unatoa mmoja hao 69 wanabaki deni utalipa anytime ukijiskia maishani we leta hata nusu.ugegedaji usio rasmi mimi huwa sifagilii kabisa shemela
Hii mbinu mubashara.. Natanguliza ngombe mmoja [emoji23] [emoji23]

Sasa sijui utamchukua wewe au kaka yake Transcend au babu Asprin [emoji1] [emoji3]
 
shukrani the Bold Nifah kwa maneno haya ya the bold lazima ujihisi upo peke yako ulimwenguni Mungu awasaidie mtimize lengo lenu [emoji8]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uwiiiiiii nimecheka sana.
Hata sijui mwenzangu.
sipati picha ila itakuwa ni special delivery sio ya nchi hiii shogaa
 
Labda ana fundi wake anayemshonea [emoji23].
Sijui kwanini wadada waliowahi kutoka nae hawatupi ubuyu kama tuliopewa wa Zitto [emoji6]
ahaa zitto alifanyeje tena? le mutuz hanaga demu wa maana yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…