Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
mahari ukiambiwa utoe ng'ombe 70 unatoa mmoja hao 69 wanabaki deni utalipa anytime ukijiskia maishani we leta hata nusu.ugegedaji usio rasmi mimi huwa sifagilii kabisa shemelaTatizo mnataka ng'ome sabini.. Sasa usawa wa bashite ng'ombe sabini labda niwaumbewenyewe.!!
Subirini najichanga, lazima nifanye halal.. Huyu mtoto wenu siwezi kumpoteza aisee!!