Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #61
Thank you chief.. God blessNawatakia maisha mema, mpendane na muheshimia +kuthaminiana. Pendaneni kama baba wa mbinguni anavyo lipenda kanisa lake
*
*
*>>>>>Muishi miaka 90
Thanks broThank you chief.. God bless
wauuu this is so lovely an sweetAwwwwwwwww thank you baby,asante kwa kunipenda namna hii The bold wangu.
Unanipenda hadi naona kweli napendwa haswaaaa.
Kama nikuambiavyo,sijawahi kupendwa kama unipendavyo wewe darling.
Mapenzi yako kwangu ni ya level ya juu kabisa.
Kama kuna vitu ambavyo sikuwahi kuwa navyo kabla basi ni wewe mpenzi wangu.
Mungu amenijaalia vingi,ila sikudhani kama kuna kitu alininyima hadi ulipokuja katika maisha yangu.
Ujio wako ktk maisha yangu umebadili kila kitu.
Nayapenda na kuona thamani ya maisha yangu sababu ya uwepo wako wewe.
Asante kwa kuendelea kuwa nami hata baada ya yale yote uambiwayo kunihusu mimi.
Ni mengi mnooo,hadi kuna wakati nahofia utakata tamaa uachane nami ila ajabu ni kwamba wewe ndio huwa unanifariji na kunisisitiza unanipenda sana and nothing can tear us apart.
Namshukuru Mungu kwa ajili yako The bold.
Nakuahidi kukupenda milele,nitakuwa rafiki,mpenzi,mke na mama bora kwa familia because you are the man I will marry
I love you [emoji8]
Nifah una maneno Matamu sana acha ndugu yangu adate....eti kama kuna vitu nilivyowahi kukosa katika maisha basi ni wewe mpenzi wngu!! Dah Hii line imenigusa sana...kumbe haya mambo hayahitaji rocket science ni ulimi wko2Awwwwwwwww thank you baby,asante kwa kunipenda namna hii The bold wangu.
Unanipenda hadi naona kweli napendwa haswaaaa.
Kama nikuambiavyo,sijawahi kupendwa kama unipendavyo wewe darling.
Mapenzi yako kwangu ni ya level ya juu kabisa.
Kama kuna vitu ambavyo sikuwahi kuwa navyo kabla basi ni wewe mpenzi wangu.
Mungu amenijaalia vingi,ila sikudhani kama kuna kitu alininyima hadi ulipokuja katika maisha yangu.
Ujio wako ktk maisha yangu umebadili kila kitu.
Nayapenda na kuona thamani ya maisha yangu sababu ya uwepo wako wewe.
Asante kwa kuendelea kuwa nami hata baada ya yale yote uambiwayo kunihusu mimi.
Ni mengi mnooo,hadi kuna wakati nahofia utakata tamaa uachane nami ila ajabu ni kwamba wewe ndio huwa unanifariji na kunisisitiza unanipenda sana and nothing can tear us apart.
Namshukuru Mungu kwa ajili yako The bold.
Nakuahidi kukupenda milele,nitakuwa rafiki,mpenzi,mke na mama bora kwa familia because you are the man I will marry
I love you [emoji8]
Hahahah.!! uzuri pia huwa unahusika sana kwenye kuziandaa so dizaini huwa tunafanya discussion.. yeye ndio TBS wangu, kabla sijashea makala yoyote public lazima aihakiki kama iko kwenye ubora..wauuu this is so lovely an sweet
.
.
.
yan apa nawaza iz great historic events ambazo The Bold anaziandika umu akisema mpk j3 we unaipata either on spot au ukute keshamalza kukusimulia...bt anyway nimependa the way u guys apreciate one another esp public mana sio kaz ndogo
Hahahahah... sitaki kujisifu ila daaaahh nafaidi sana mkuu.. [emoji4] [emoji4]Nifah una maneno Matamu sana acha ndugu yangu adate....eti kama kuna vitu nilivyowahi kukosa katika maisha basi ni wewe mpenzi wngu!! Dah Hii line imenigusa sana...kumbe haya mambo hayahitaji rocket science ni ulimi wko2
Hebu kamatika huko bana[emoji1]
Amen.! Mwenyezi Mungu alete kheri..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23]Mbona hujasema mimi ndio muhasibu wako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu miss leo itakua kuna mtu kahack PW yake. Sio bureWe!!! Unataka simba anile, hii kauli ingetoka kwingine nisingekuwa na shida, ila kwa Miss Natafuta hapana.
Huyu miss leo itakua kuna mtu kahack PW yake. Sio bure
maneno matam sana haya!..kumbe hata ndoa badoo?…Awwwwwwwww thank you baby,asante kwa kunipenda namna hii The bold wangu.
Unanipenda hadi naona kweli napendwa haswaaaa.
Kama nikuambiavyo,sijawahi kupendwa kama unipendavyo wewe darling.
Mapenzi yako kwangu ni ya level ya juu kabisa.
Kama kuna vitu ambavyo sikuwahi kuwa navyo kabla basi ni wewe mpenzi wangu.
Mungu amenijaalia vingi,ila sikudhani kama kuna kitu alininyima hadi ulipokuja katika maisha yangu.
Ujio wako ktk maisha yangu umebadili kila kitu.
Nayapenda na kuona thamani ya maisha yangu sababu ya uwepo wako wewe.
Asante kwa kuendelea kuwa nami hata baada ya yale yote uambiwayo kunihusu mimi.
Ni mengi mnooo,hadi kuna wakati nahofia utakata tamaa uachane nami ila ajabu ni kwamba wewe ndio huwa unanifariji na kunisisitiza unanipenda sana and nothing can tear us apart.
Namshukuru Mungu kwa ajili yako The bold.
Nakuahidi kukupenda milele,nitakuwa rafiki,mpenzi,mke na mama bora kwa familia because you are the man I will marry
I love you [emoji8]
Jaribu na boxer naimani utapendeza sana mbele ya macho ya KichwaNinachopenda kuvaa cha The bold ni t-shirts zake.
Uwiiiiiii nikivaa na skin zinanitoaje? [emoji4] [emoji39]
ha ha ha haaaa...you know,le mbebez kwa fundi cherehani![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]that man! no way! hivi anavaa boxer ya nchi gani au special delivery?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] special delivery!..ha ha haahahaaaaasipati picha ila itakuwa ni special delivery sio ya nchi hiii shogaa
Ataipenda haswaa!..Mungu awajaalie mfunge ndoa aseeeeee[emoji4]Nitajaribu mama,bila shaka kichwa wangu ataipenda.[emoji4]