Wife alikuwa na maana gani hapa wakuu?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Habari wakuu?

Last weekend nimemuaga wife kuwa nakwenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man. U, cha kushangaza wife akanijibu uwasalimie wahudumu (bar maids) wa hiyo bar.

Nimemtafakari sana kutaka kujua hilo jibu lake lilikuwa na ujumbe gani kwangu ila sijapata majibu.

Kwa wazoefu wa haya mambo, naomba mnisadie kufungua hii code.
 

Mkuu ni kweli umeoa!?
 
Ulishindwa Nini kumuuliza alikuwa na maana gani? Hapa huwezi kupata ukweli, ukweli anao huyo mkewe.
 
Ni ana wivu tu na hofu juu yako hamna lolote
 
Ulipaswa uende nae kwani yeye hataki kutoka? Maadamu shughuli za nyumbani keshaweka sawa kwa nini msitoke wote? Mkitoka wote mkirudi nyumbani kuna ladha yake! Unamuacha hapo nyumbani peke yake ili nini ? Yeye aongee na nani kama sio wewe mumewe?
 
Hakupenda umwache peke yake home halafu wewe unakwenda kwenye Mambo ya kipuuzi ,mchana haupo nyumbani usiku pia bado unashughulika na Mambo ya kipumbavu na kumwacha mkeo peke yake.Achana na hizo Mambo ya kipuuzi!
 
Ndio maana mnakufa mapema yaam alikuzingua we umeweka kichwan
 
Kuna mdau mmoja humu jf analalamikia nyuzi za kipumbavu
 

Hahaha wanawake tuwe na break za majibu jamani. Hivihivi ndio kumkaribisha shetani
Sasa hapo si amekutuma!? Au amekukumbusha!??


Ni ana wivu tu na hofu juu yako hamna lolote
Kwanini asimwambie mume wangu twende wote naogopa kuibiwa😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…