Wife alikuwa na maana gani hapa wakuu?

Wife alikuwa na maana gani hapa wakuu?

Wanawake wengi hawapendi kuona mme wake anatoka kwenda sehemu wanataka kutwa mnatazamana tu hiyo ndio raha yao hivyo kusema wasalimie wahudumu ni tabia iliyopo kwenye mioyo ya wanawake, tunatumia ubabe tu kutoka kwenda matembezi, asikuumize kichwa
 
Ulishindwa Nini kumuuliza alikuwa na maana gani? Hapa huwezi kupata ukweli, ukweli anao huyo mkewe.
Bora hajamuuliza mkewe,
angethubutu kuuliza ingekua ni mlipuko wa ugomvi hata kuangalia hiyo mechi asingeenda.
 
Habari wakuu?

Last weekend nimemuaga wife kuwa nakwenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man. U, cha kushangaza wife akanijibu uwasalimie wahudumu (bar maids) wa hiyo bar.

Nimemtafakari sana kutaka kujua hilo jibu lake lilikuwa na ujumbe gani kwangu ila sijapata majibu.

Kwa wazoefu wa haya mambo, naomba mnisadie kufungua hii code.
Aisee! Sasa hii nayo ni code ngumu ku decrypt mkuu?! Duh kweli kazi ipo.
 
Hilo lilikuwa ni jibu tosha la wewe kubaki nyumbani na kula ili ule au ule kwanza ndio kula kufuate
 
Back
Top Bottom