Wife alikuwa na maana gani hapa wakuu?

Na wewe kwa nini ukaangalie mpira bar unafamilia, nunua kingamuzi kaa na mkeo uangalie mpira. Siku akipenda mpira ndio muende bar wote
 
Maana yake anataka uwe na mchepuko baa maid...
 
Ungemjibu tu kuwa , sawa nitawasalimia.

Umngojee alianze ndo ungeweza kumsoma
 
Kaona unaspend muda wako bar kuliko kuspend naye kifupi alikua anahitaji kuwa na wewe
 
Baada ya kusikia hayo maneno wewe ulimwambiaje? Ni vizuri ungemuuliza mhusika mwenyewe ndiyo ungepata jibu la uhakika.
 
Siku nyingine mchukue muende wote.
Mtu umemuoa umetoa mahali kwao lakn bado ana mashaka hajiamini kuwa yy ni bora kuliko hao bartenders.
 
Ungemwambia "Mke wangu unaonekana mbaguzi sana,kwa hiyo umeona bar kuna wahudumu tu?".

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Umeambiwa uwasalimie "viburudisho vyako"
 
Mtoto anapokuwa mume!??
Ok.. fine siku pia akiwa kwenye sikuzake utakuja tuuliza humu!??
Sikuzake ndio nini!?
Khantwe
 
Kwani hujui kuwa walevi na wahudumu ni mapacha?
 
Hii tabia ya kujaza Server za Jf kwa post za kitoto itaisha lini?
 
Hayo ni maneno ya kawaida sana kwa hawa viumbe, sisi wazoefu hua tunamalizia kw kujibu "nitawasalimia"...πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…