MZEE wa Dodoso
New Member
- Jun 17, 2021
- 2
- 0
π π πJf imedharaulika Sana siku hizi yaani hata mtu akimuona bata kajamba analeta Uzi hapa [emoji14][emoji14][emoji14]
Bora hajamuuliza mkewe,Ulishindwa Nini kumuuliza alikuwa na maana gani? Hapa huwezi kupata ukweli, ukweli anao huyo mkewe.
Yaelekea kapata tetesi kuwa huwa unawala hao wahudumu. Acha hizo mambo za kula malaya mkuu.
Aisee! Sasa hii nayo ni code ngumu ku decrypt mkuu?! Duh kweli kazi ipo.Habari wakuu?
Last weekend nimemuaga wife kuwa nakwenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man. U, cha kushangaza wife akanijibu uwasalimie wahudumu (bar maids) wa hiyo bar.
Nimemtafakari sana kutaka kujua hilo jibu lake lilikuwa na ujumbe gani kwangu ila sijapata majibu.
Kwa wazoefu wa haya mambo, naomba mnisadie kufungua hii code.
Next time nenda naye kwenye hiyo Bar...Sina mahusiano na yeyote kwenye hiyo bar mkuu.