Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #101
Kwakweli hongera zao aseeNawakubali sana wanawake wanaojifungua kwa njia ya kawaida.
Though wengine ni sababu ya umaskini uwezo wa kulipa Hela za operation hawana inabidi wajitahidi kwa njia ya asili kuepuka gharama.
Lakini kuna wale Hela anayo lakini ni hodari yuko active anafanya kazi za nyumbani badała ya kuachia Mjakazi afanye kila kitu
Wangu Kwa habari za kazi Hana mdada wa kazi Huwa anapika na kufanya kazi had akibakiza mwezi ndo anaweza kuja mamaHuko kudekadeka kwao ndiko kunasababisha wengi siku hizi wanajifungua kwa njia ya uoasuaji Yaani operation badala ya njia ya kawaida ya asili.
Sababu they don’t keep active themselves kipindi chote cha ujauzito.
Kazi kulala tu na uvivu.
Kila kitu dadaaaa kalete kile , dadaaa nipo kile, dadaaa kachukue kile ulete.
Activeness utatoka wapi ya kusukumw mtoto leba ?!
Ni mwendo wa visu tu sasa.
Lakini mwanamke akiwa anajifanyia shughuli zake za nyumbani awapo home mwili inakuwa active tayari kusukuma mtoto atoke.
Kabisa ynWanaocheza Sana na intelejensia za akili zetu
Ni kweli mjamzito anapitia nyakati ngumu kama kichefuchefu,kujisikia ovyo,uchovu nk lakini mambo mengine wanajiendekeza na mwanaume ukikaa kindezi hadi mavi utazoleshwa.
Mm wa kwangu alileta pigo hizo,mara usiku kucha namshika shika tumbo,mara nifuatie udongo,mara nifuatie mtoei baa fln mbali kichizi,mara leta vest zako ninuse nk nk,mwanzoni nikawa nafanya lakini baadae nikawa nikitumwa tu naishia baa,napiga mtungi wa kibabe,narudi usiku mnene,namkuta mpooole kashanimiss huku sina habari wala nn. Mbona alikoma
Achana na huyo ajuzaSio uongo hayo mambo yanatukuta wanaume
Mkuu unaweza ona kama ni mjinga lakini ukizingatia ana hamu na mtoto asee mbona unafata tuKuna mwalimu mmoja mjinga yeye alikuwa akitumwa chips kila ikifika saa 5 usiku na kuipata chips inatakiwa aende kilometa 8 kwenda na kurudi tena kwa baiskeli
Hii bala tupu asee pole sanaHiyo chamtoto,kwangu nilikuta defender nje.
nikalala post kwa mara ya kwanza
Tena kesi ya kutishia kuua?
Ubishi ulikua wa kawaida tu,nikajikuta mahabusu.
Nimesamehe ila kila nikikumbuka napotea kabisa Duniani.
Hii bala tupu asee pole sanaHiyo chamtoto,kwangu nilikuta defender nje.
nikalala post kwa mara ya kwanza
Tena kesi ya kutishia kuua?
Ubishi ulikua wa kawaida tu,nikajikuta mahabusu.
Nimesamehe ila kila nikikumbuka napotea kabisa Duniani.
SawaUongo mtupu.
Mimi wangu akiwa mimba ni maembe mabichiHiyo story ya embe. Ni uongo mtupu.
Hakuna mwanamke mjamzito akashikwa na hamu ya kitu cha kula kisichokuwepo au kisichopatikana kwa wepesi au mbadala wake.
Mjamzito kwenye kula mara nyingi hangoji kuletewa. Simu za siku hizi? Angeshaagiza embe na angeshajuwa wapi azipate, wala asingelia.
Mnadanganyana na wenyewe tupo hapa?
Wako alikuamsha saa nane ya usiku? Au anatayarisha mwenyewe mengi mengi mpaka unayaficha?Mimi wangu akiwa mimba ni maembe mabichi
Nyanya mbichi kabisa zile za kijani.
Nyama Hali Yai Hali
Na baadhi ya matunda halagi.
Hayo maembe Hadi Huwa nafanya kuficha mengine nahofia yanaweza mletea madhara. Huwa anakula mengi mno hata hashikwi na ukakasi akiwa Hana mimba Hana habari nayo Hadi niliuliza Kwa nurse akaniambia hayana shida.
Sasa wewe unayepinga ndo uliyemuoa?
Hapa sio masijid Kila kitu unapinga tu
Nilichosema ndo kilichonitokea. Unataka debate?Wako alikuamsha saa nane ya usiku? Au anatayarisha mwenyewe mengi mengi mpaka unayaficha?
Huyo babu jinga aaliytolewa kijanja nyumbani aje mtu japo huyo mwanamke asikie harufu yake tu. Kazugwa na kilio na embe.
akarudi na kiembe chake kidogo, kaona kampatia kweli mwanamke, kumbe kapatikana yeye.
Hamvijuwi vitimbi vya wanawake nyinyi.
HahahahahaAchana na huyo ajuza
Ndio uanaume huo.Wanawake Wana mbinu nyingi sana za kukutesa. Akiwa na mimba tumelala vizuri kabisa bila changamoto yoyote Ile.
Nashituka kutoka usingizini nashangaa kuona mwenzangu analia bila sababu.
Nauliza unaumwa kimya!! Uchungu umefika? Na hapo mimba Bado sana muda wa kujifungua wife yupo kimya.
Nikaanza kupapasa huku,kule na humo lkn wapi....
Kama dk 9 Hivi ndo ananiambia nahitaji embe la kutafuta Mimi.
Wakuu hapa Sasa niliishiwa ujanja nikasema ama amepata kifafa Cha ujauzito huyu embe saa7 hii natoa wapi!?
Nikajua huenda ana test mitambo. Basi nikaanza kujieleza kuwa napata wapi Sasahivi mke wangu watu wamelala na hapa ni mjini maembe Hadi kule mashambani?
Jibu sipewi analia tu. Nikaendelea kusema ukizingatia kipindi hiki sio msimu wa maembe kabisa natoa wapi Hilo embe vumilia tulale kesho nitafanya juu chini tupate.
Wakuu Kila nikimaliza kuongea naambiwa anataka embe bichi la kutafuna!!.
Aisee akili ikanijia hapa niende tu huko mashambani iwapo nitakoswa nikalale Kwa jirani hapana kwakweli sitaweza kukesha naliliwa usiku kucha Mimi.
Nikawasha pikipiki muda huo ni mishale ya saa7:37 Hivi usiku. Nikaenda Hadi shamba Moja Hivi la mzee wa kanisa flani.
Muda huo nilikumbuka sana umhimu wa tochi wakuu. Smart yangu sawa ilikuwa inawaka ila mwanga umesambaa hata haufiki mbali.
Nilizunguka miti kama 4 hakuna kitu. Ujue ni usiku na kumetulia kabisa. Nikajisemea Sasa naenda mti wa mwisho nikikoswa naenda kulala Kwa jirani yangu kwakweli.
Nimeenda huku namuomba Mungu nipate asee. Bahati nzuri nikaona kaembe kadogo na kachanga ni aibu hata kukachukua ila nikajisemea acha tu niende Nako haka haka kama ushahidi kuwa nimekoswa embe mke wangu.
Kipindi najaribu kuwasha pikipiki Ili nirudi haiwaki fanya Hivi na vile wapi nikaanza kusukuma nilitumia kama lisaa kufika nyumbani ukijumuisha na muda wa kuzunguka kwenye miembe almost masaa2 yanafika!!
Nikawa nimefika kaembe nimekaweka kwenye mfuko wa suruali nikafunga na zipi kabisa kasidondoke.
Nafika nyumbani namkuta kanisubiria Nje mlangoni kulia halii amekaa tu. Nilikuwa na hasira sana lakini nilijikaza tu.
Nikamwambia aisee embe nimekoswa kabisa nimezunguka nikaona haka tu kachanga.
Kalikwapuliwa chap kama mwewe anapita na kifaranga na kakatafunwa Hadi kale ka mbegu ka embe vinakuwaga vyeupe.
Nilishangaa Sana. Hapo hapo tukaanza na story na vicheko ila moyoni ukinifunua nime mind vibaya mno.
Akauliza kwanini pikipiki umekuja unaisukuma mafuta yameisha. Nikamwambia hata sijui imegoma tu pindi naanza kurudi.
Kesho yake nikagundua kumbe nilizima kwenye Ile batani ya stop engine asee nilijidharau sana.
Nilikaa nae nikamwambia kama mimba Yako inakupelekesha Hivi. Ukija kuniambia Tena nitaenda mazima sitarudi nitalala nitakapo lala asee siwezi kwenda kwenye miembe inayo ogopeka vile halafu usiku wa manane je niking'atwa na nyoka utapata faida Gani?
Nikamwambia msimamo wangu ndo huu. Sitakaa nifate Tena Kwa sababu nilkuwa sijakumbia nimekuambia Sasa Jana umeniuzi mno.
View attachment 3136351
HakikaNdio uanaume huo.
Ni kwamba ni ngumu sana kuchukulia kipimo hicho kuwa ni sahihi mkuu. Mengine fanya tu utimize wajibu wako. Nitakupa mifano.Wanasema Mjamzito atakufanyia vitimbi kama hakupendi, kama unapendwa hawezi kuleta aina hiyo ya visirani.
UKitaka jua kama unapendwa ni kipindi cha ujauzito wa mke wako.
Kama unapendwa kweli,mimba itakuletea kero 1 tu ya Kutaka uwe nae karibu muda wote.