Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Ndo maana vijana ambao hawajakomaa wanawapiga wake zao kama ngoma za kijijiHakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana vijana ambao hawajakomaa wanawapiga wake zao kama ngoma za kijijiHakika
Kabisa.Siku napeleka kliniki nurse alisema Kuna maudhi flani flani utapitia katika kipindi hiki Cha mimba hivyo kuwa mvumilivu umvumlie mwenzio. Kweli bana ndo yakanikuta. Wanao tuonane eti tunaendeshwa nawaona ni wavulana tu kama wataalamu wa afya wanayatambua hayo maudhi kwanini nipinge?Ndo maana vijana ambao hawajakomaa wanawapiga wake zao kama ngoma za kijiji
Yamewahi kukututa mkuu? Kaka yangu alitorokwa kisa tu ana muangalia vibaya. Tena mwanamke akasema ndoa iishe tu. Kama utani Shem alienda kwao akienda kumfuata ama kupeleka matumizi nikusalimiana anaenda kulala Hadi aondoke basi nikawa napeleka Mimi tunacheka Hadi basi.Mimi tungekesha tunabishana siwezi kutoka usiku wote huo kwenda kutafuta Embe
Ndo ukubwa mzeeKabisa.Siku napeleka kliniki nurse alisema Kuna maudhi flani flani utapitia katika kipindi hiki Cha mimba hivyo kuwa mvumilivu umvumlie mwenzio. Kweli bana ndo yakanikuta. Wanao tuonane eti tunaendeshwa nawaona ni wavulana tu kama wataalamu wa afya wanayatambua hayo maudhi kwanini nipinge?
Uongo gani tenaUongo mtupu.
Hiyo story ya embe. Ni uongo mtupu.Uongo gani tena
Naomba niijibie hii. Kiukweli tunakuwa na hamu na huwa pia zinakata abruptly. Ila tu ni kutumia hekima na kumueleza mwenza wako unachokuwa unapitia ili awe anaelewa situation iliyopo. Ni vipindi vya mpito tu, though wengine huwa wanaexaggarate. Mi dada yangu alinikanyaga akaniambia ole wako nisikie unamnyanyasa shemeji na drama za mimba, we hutakuwa wa kwanza by the way kubeba mimba. So mi ninachoona ni kuwa kukosa hamu ya kula na little mood swings ndo zipo ila hazitoi sababu ya kumtesa mtoto wa mwanamke mwenzio.Kiukweli wanawake wenye mimba kuna muda wanakera,mi wa kwangu aliniagiza samaki mda huo nna 6000/= mfukoni nikanunua samaki ya buku 5,mwanaume nikabaki na buku
Nilivyomfikisha yule samaki wife akasema hamu ya samaki imeisha dah
Kweli bibieNaomba niijibie hii. Kiukweli tunakuwa na hamu na huwa pia zinakata abruptly. Ila tu ni kutumia hekima na kumueleza mwenza wako unachokuwa unapitia ili awe anaelewa situation iliyopo. Ni vipindi vya mpito tu, though wengine huwa wanaexaggarate. Mi dada yangu alinikanyaga akaniambia ole wako nisikie unamnyanyasa shemeji na drama za mimba, we hutakuwa wa kwanza by the way kubeba mimba. So mi ninachoona ni kuwa kukosa hamu ya kula na little mood swings ndo zipo ila hazitoi sababu ya kumtesa mtoto wa mwanamke mwenzio.
Sio uongo hayo mambo yanatukuta wanaumeHiyo story ya embe. Ni uongo mtupu.
Hakuna mwanamke mjamzito akashikwa na hamu ya kitu cha kula kisichokuwepo au kisichopatikana kwa wepesi au mbadala wake.
Mjamzito kwenye kula mara nyingi hangoji kuletewa. Simu za siku hizi? Angeshaagiza embe na angeshajuwa wapi azipate, wala asingelia.
Mnadanganyana na wenyewe tupo hapa?
Ni kweli mjamzito anapitia nyakati ngumu kama kichefuchefu,kujisikia ovyo,uchovu nk lakini mambo mengine wanajiendekeza na mwanaume ukikaa kindezi hadi mavi utazoleshwa.Wanawake Wana mbinu nyingi sana za kukutesa. Akiwa na mimba tumelala vizuri kabisa bila changamoto yoyote Ile.
Nashituka kutoka usingizini nashangaa kuona mwenzangu analia bila sababu.
Nauliza unaumwa kimya!! Uchungu umefika? Na hapo mimba Bado sana muda wa kujifungua wife yupo kimya.
Nikaanza kupapasa huku,kule na humo lkn wapi....
Kama dk 9 Hivi ndo ananiambia nahitaji embe la kutafuta Mimi.
Wakuu hapa Sasa niliishiwa ujanja nikasema ama amepata kifafa Cha ujauzito huyu embe saa7 hii natoa wapi!?
Nikajua huenda ana test mitambo. Basi nikaanza kujieleza kuwa napata wapi Sasahivi mke wangu watu wamelala na hapa ni mjini maembe Hadi kule mashambani?
Jibu sipewi analia tu. Nikaendelea kusema ukizingatia kipindi hiki sio msimu wa maembe kabisa natoa wapi Hilo embe vumilia tulale kesho nitafanya juu chini tupate.
Wakuu Kila nikimaliza kuongea naambiwa anataka embe bichi la kutafuna!!.
Aisee akili ikanijia hapa niende tu huko mashambani iwapo nitakoswa nikalale Kwa jirani hapana kwakweli sitaweza kukesha naliliwa usiku kucha Mimi.
Nikawasha pikipiki muda huo ni mishale ya saa7:37 Hivi usiku. Nikaenda Hadi shamba Moja Hivi la mzee wa kanisa flani.
Muda huo nilikumbuka sana umhimu wa tochi wakuu. Smart yangu sawa ilikuwa inawaka ila mwanga umesambaa hata haufiki mbali.
Nilizunguka miti kama 4 hakuna kitu. Ujue ni usiku na kumetulia kabisa. Nikajisemea Sasa naenda mti wa mwisho nikikoswa naenda kulala Kwa jirani yangu kwakweli.
Nimeenda huku namuomba Mungu nipate asee. Bahati nzuri nikaona kaembe kadogo na kachanga ni aibu hata kukachukua ila nikajisemea acha tu niende Nako haka haka kama ushahidi kuwa nimekoswa embe mke wangu.
Kipindi najaribu kuwasha pikipiki Ili nirudi haiwaki fanya Hivi na vile wapi nikaanza kusukuma nilitumia kama lisaa kufika nyumbani ukijumuisha na muda wa kuzunguka kwenye miembe almost masaa2 yanafika!!
Nikawa nimefika kaembe nimekaweka kwenye mfuko wa suruali nikafunga na zipi kabisa kasidondoke.
Nafika nyumbani namkuta kanisubiria Nje mlangoni kulia halii amekaa tu. Nilikuwa na hasira sana lakini nilijikaza tu.
Nikamwambia aisee embe nimekoswa kabisa nimezunguka nikaona haka tu kachanga.
Kalikwapuliwa chap kama mwewe anapita na kifaranga na kakatafunwa Hadi kale ka mbegu ka embe vinakuwaga vyeupe.
Nilishangaa Sana. Hapo hapo tukaanza na story na vicheko ila moyoni ukinifunua nime mind vibaya mno.
Akauliza kwanini pikipiki umekuja unaisukuma mafuta yameisha. Nikamwambia hata sijui imegoma tu pindi naanza kurudi.
Kesho yake nikagundua kumbe nilizima kwenye Ile batani ya stop engine asee nilijidharau sana.
Nilikaa nae nikamwambia kama mimba Yako inakupelekesha Hivi. Ukija kuniambia Tena nitaenda mazima sitarudi nitalala nitakapo lala asee siwezi kwenda kwenye miembe inayo ogopeka vile halafu usiku wa manane je niking'atwa na nyoka utapata faida Gani?
Nikamwambia msimamo wangu ndo huu. Sitakaa nifateNi
Wanaocheza Sana na intelejensia za akili zetuMkuu utafanyaje Sasa imebidi?
Asingeenda angefanyaje?Hahahaha
Wanaume tuna maisha mafupi sana kwa haya maswahibu
Angezaliwa mtoto mkaidiAsingeenda angefanyaje?
Siyo yeye ni huyo aliye naye ndani yakeWanawake Wana mbinu nyingi sana za kukutesa. Akiwa na mimba tumelala vizuri kabisa bila changamoto yoyote Ile.
Nashituka kutoka usingizini nashangaa kuona mwenzangu analia bila sababu.
Nauliza unaumwa kimya!! Uchungu umefika? Na hapo mimba Bado sana muda wa kujifungua wife yupo kimya.
Nikaanza kupapasa huku,kule na humo lkn wapi....
Kama dk 9 Hivi ndo ananiambia nahitaji embe la kutafuta Mimi.
Wakuu hapa Sasa niliishiwa ujanja nikasema ama amepata kifafa Cha ujauzito huyu embe saa7 hii natoa wapi!?
Nikajua huenda ana test mitambo. Basi nikaanza kujieleza kuwa napata wapi Sasahivi mke wangu watu wamelala na hapa ni mjini maembe Hadi kule mashambani?
Jibu sipewi analia tu. Nikaendelea kusema ukizingatia kipindi hiki sio msimu wa maembe kabisa natoa wapi Hilo embe vumilia tulale kesho nitafanya juu chini tupate.
Wakuu Kila nikimaliza kuongea naambiwa anataka embe bichi la kutafuna!!.
Aisee akili ikanijia hapa niende tu huko mashambani iwapo nitakoswa nikalale Kwa jirani hapana kwakweli sitaweza kukesha naliliwa usiku kucha Mimi.
Nikawasha pikipiki muda huo ni mishale ya saa7:37 Hivi usiku. Nikaenda Hadi shamba Moja Hivi la mzee wa kanisa flani.
Muda huo nilikumbuka sana umhimu wa tochi wakuu. Smart yangu sawa ilikuwa inawaka ila mwanga umesambaa hata haufiki mbali.
Nilizunguka miti kama 4 hakuna kitu. Ujue ni usiku na kumetulia kabisa. Nikajisemea Sasa naenda mti wa mwisho nikikoswa naenda kulala Kwa jirani yangu kwakweli.
Nimeenda huku namuomba Mungu nipate asee. Bahati nzuri nikaona kaembe kadogo na kachanga ni aibu hata kukachukua ila nikajisemea acha tu niende Nako haka haka kama ushahidi kuwa nimekoswa embe mke wangu.
Kipindi najaribu kuwasha pikipiki Ili nirudi haiwaki fanya Hivi na vile wapi nikaanza kusukuma nilitumia kama lisaa kufika nyumbani ukijumuisha na muda wa kuzunguka kwenye miembe almost masaa2 yanafika!!
Nikawa nimefika kaembe nimekaweka kwenye mfuko wa suruali nikafunga na zipi kabisa kasidondoke.
Nafika nyumbani namkuta kanisubiria Nje mlangoni kulia halii amekaa tu. Nilikuwa na hasira sana lakini nilijikaza tu.
Nikamwambia aisee embe nimekoswa kabisa nimezunguka nikaona haka tu kachanga.
Kalikwapuliwa chap kama mwewe anapita na kifaranga na kakatafunwa Hadi kale ka mbegu ka embe vinakuwaga vyeupe.
Nilishangaa Sana. Hapo hapo tukaanza na story na vicheko ila moyoni ukinifunua nime mind vibaya mno.
Akauliza kwanini pikipiki umekuja unaisukuma mafuta yameisha. Nikamwambia hata sijui imegoma tu pindi naanza kurudi.
Kesho yake nikagundua kumbe nilizima kwenye Ile batani ya stop engine asee nilijidharau sana.
Nilikaa nae nikamwambia kama mimba Yako inakupelekesha Hivi. Ukija kuniambia Tena nitaenda mazima sitarudi nitalala nitakapo lala asee siwezi kwenda kwenye miembe inayo ogopeka vile halafu usiku wa manane je niking'atwa na nyoka utapata faida Gani?
Nikamwambia msimamo wangu ndo huu. Sitakaa nifate Tena Kwa sababu nilkuwa sijakumbia nimekuambia Sasa Jana umeniuzi mno.
View attachment 3136351
Siyo yeye ni huyo aliye naye ndani yake