Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #41
Hahahaaa Cha mtu huliwa na mtu mkuu.Kwa taharifa yako alitaka utoke ili apigwe Dudu na jirani. Umeliwa ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa Cha mtu huliwa na mtu mkuu.Kwa taharifa yako alitaka utoke ili apigwe Dudu na jirani. Umeliwa ndugu
Mkuu wengi watazani unachekesha Kwa vile Mimi kilinikuta Wala siwezi bishi. Maana kale kaembe kachanga mtuwenye akili timamu hawezi akala kwanza atakatupa huko.Kuna jamaa nae aliagizwa tango saa 7 usiku, bahati nzuri akapata kwa wauza chips Maeneo ya kona bar, kufika nyumbani akaambiwa ale yeye ili wife asikie Sauti ya tango likitafunwa
Kabisa ndio maana ananidhalia Watoto 😹😹Hakupendi
Daah ni matesoWewe Baba kijacho acha hizo. Ulipokuwa unamwamsha mkeo usiku wa manane unapiga mzigo tani yako ulitegemea nini? Mimba imeingia sasa ni zamu yako kuamshwa kuleta maembe. Dada wa watu saa hizi anahema juu juu kisa tu anakulelea mwanao halafu wewe kuleta maembe tu unaona kazi....hangaika mtoto haji kizembe
Hapana mkuu KUOLEWA Tena ni Nje na agenda aseeMkuu
Kwa haya unayoyqpitia, kubali tu kwamba ukifa mkeo tumuoe.
Taabu sana anakupa aisee😀
Sio Sasa Hivi ni miaka kadhaa imepita na ilikuwa ndo mimba yake ya kwanza.Nimeishia nusu, hapa yapo maembe machanga yakutosha njoo na kisalifeti
Ahsantee mkuu nayo yalipita aseeDuh pole sana
Hii ni kipindi Cha nyuma mkuu Kwa first born wetu. Kwa Sasa hawezi maana nilimwambia asijaribu tenaUshauri wa bure: kwakuwa umegundua hilo jaribu kuyatafuta maembe ujaze ndoo kubwa uyaweke chumbani akijisikia kula usiku anamka anajichukulia mwenyewe...wasiwasi wangu akibadilisha akadai machenza hapo kimbembe tena.
Mkuu utafanyaje Sasa imebidi?Mwanamke NI mavi ya ngo"mbe ukiliona kwa nje limekauka tia mguu ndo utajua hakuna rangi utaacha kuiona
Kwakweli bila kukubali yaishe ama nitumie ubabe pangechafuka aseeMimba bana inajua kupelekesha..😌
Kufa uone sarakasi tutakazopiga😆Hapana mkuu KUOLEWA Tena ni Nje na agenda asee
Kiukweli wanawake wenye mimba kuna muda wanakera,mi wa kwangu aliniagiza samaki mda huo nna 6000/= mfukoni nikanunua samaki ya buku 5,mwanaume nikabaki na bukuMkuu kale kaembe ukikaona hata kukatamani huwezi lkn kalirudisha furaha yake chap mno. Nilishangaa Sana.
Ameshaapa kuwa hataolewa mkuu😂😂Kufa uone sarakasi tutakazopiga😆
Halafu hii ni kama wote anaweza kukwambia anahamu na kitu flani ukileta anabadiri gia anakwambia hamu imekata.au akununie tu.Kiukweli wanawake wenye mimba kuna muda wanakera,mi wa kwangu aliniagiza samaki mda huo nna 6000/= mfukoni nikanunua samaki ya buku 5,mwanaume nikabaki na buku
Nilivyomfikisha yule samaki wife akasema hamu ya samaki imeisha dah
Mimba bana inajua kupelekesha..😌
wanafanyaga makusudi mkuu amini hilo, wangu nilimpiga marufuku mambo ya kuiga iga hayo